Magufuli aachwe na tumuunge mkono Watanzania

ndembeke

Member
Jun 18, 2015
23
3
Hivi karibuni kumeibuka nakundi ya aina tofauti,yenye kumuunga mkono mh. Rais na Serikali yake na yenye kupinga na kupotosha mazuri yake. Watz tuna kila sbb ya kuunga mkono jitihada na harakati zote za mh. Rais zenye kurudisha imani kwa wananchi kwa serikali yake na chama chake Ccm.

Huyu ndie kiongozi tuliyemuitaji na ameletwa na mungu kuikomboa tz na kuwafanya wananchi wa tz waweze nufaika na rasilimali za nchi yao hvyo tuna kila sbb ya kumuombea, kumuunga mkono kwa nguvu zetu zote Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuri.

Hapa kazi tu.
 
Mkuu kusema kweli mimi niko tayari kabisa kumuunga mkono Mh. Pombe. Nina data nyingi sana za wapigaji, wezi, wa pesa za umma. Kuna taasisi moja ya umma wanakamchezo fulani ambako watu wachache wanaojiita wajanja wanapiga pesa kwa kwenda mbele. Hako kataasisi kanafanya kazi kwa kushirikiana na sekta binafsi. Katasisi ka umma kanatoa huduma kwa kampuni binafsi na baada ya hiyo huduma hiyo kampuni hulipa pesa kwa ajili ya huduma wanayopata. sasa mkuu mambo yanayofanyika ni hatari tupu. Kama mtoto unavyompa kitu kwa mkono wa kulia na kukichukuwa kwa mkono wa kushoto.
Jamaa akisha ingiza pesa benki kwenye account ya kitaasisi cha umma, anampigia simu muhasibu kuwa mzigo umeingia. hiyo pesa inatolewa yote baada ya siku mbili. Mhasibu wa Kampuni binafsi anapewa chake, zinazobaki wanagawana mhasibu wa kitaasisi cha umma boss wake pamoja na msaidizi wa boss mchezo umeisha. mpunga unaolipwa ni 162mil @ mwezi
 
Back
Top Bottom