Magic FM na kipindi chao cha gumzo wanapotukana madaktari na wanaharakati

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
13,405
19,072
WanaJF nimesikiliza kipindi cha gumzo asubuhi kuna mtangazaji anajiita Meshack nzowa anatamka maneno makali ya kuwashambulia madaktari na wanaharakati hadi inakera sana. Anasema katika hotuba ya jana Rais alitakiwa kuwakoromea tu kwa staili aliyotumia kwa akina Mgaya badala ya kuwabembeleza na kwamba angewataja kwa majina akina mama Nkya na Kijo Bisimba kwamba ndo walichochea madaktari wagome.

Hivi ni sahihi kuwashambulia madaktari kisa wameamua kurudi kazini na kuanza kukejeli role ya wanaharakati katika kutafutia ufumbuzi mgogoro huu.

Au nyie mnalionaje hili jamani.
 
WanaJF nimesikiliza kipindi cha gumzo asubuhi kuna mtangazaji anajiita Meshack nzowa anatamka maneno makali ya kuwashambulia madaktari na wanaharakati hadi inakera sana. Anasema katika hotuba ya jana Rais alitakiwa kuwakoromea tu kwa staili aliyotumia kwa akina mgaya badala ya kuwabembeleza na kwamba angewataja kwa majina akina mama Nkya na Kijo Bisimba kwamba ndo walichochea madaktari wagome. Hivi ni sahihi kuwashambulia madaktari kisa wameamua kurudi kazini na kuanza kukejeli role ya wanaharakati katika kutafutia ufumbuzi mgogoro huu. Au nyie mnalionaje hili jamani.

Wakati wa mgomo walikuwa wanaponda sana serikali, leo baada ya JK kuongea wanaponda madaktari na wanaharakati. Njaa ndo sababu ya umaskini wetu.
 
WanaJF nimesikiliza kipindi cha gumzo asubuhi kuna mtangazaji anajiita Meshack nzowa anatamka maneno makali ya kuwashambulia madaktari na wanaharakati hadi inakera sana. Anasema katika hotuba ya jana Rais alitakiwa kuwakoromea tu kwa staili aliyotumia kwa akina mgaya badala ya kuwabembeleza na kwamba angewataja kwa majina akina mama Nkya na Kijo Bisimba kwamba ndo walichochea madaktari wagome. Hivi ni sahihi kuwashambulia madaktari kisa wameamua kurudi kazini na kuanza kukejeli role ya wanaharakati katika kutafutia ufumbuzi mgogoro huu. Au nyie mnalionaje hili jamani.

Anajikomba pengine atapewa ukuu wa wilaya
 
magic fm na chanel ten wanaboa sana,kifupi ni kwamba wanaganga njaa zaidi....
 
Mimi nadhani Kuwa single out NKya na Bisimba wanadhani watawapunguza nguvu ni kupoteza muda kwa sababu wanaharakati ni wananchi na sasa hivi wengi wanafanya uwanaharakati wao popote walipo wanapoishi na wanapotafutia riziki , tukubaliane serikali hii ni bogus badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma
 
WanaJF nimesikiliza kipindi cha gumzo asubuhi kuna mtangazaji anajiita Meshack nzowa anatamka maneno makali ya kuwashambulia madaktari na wanaharakati hadi inakera sana. Anasema katika hotuba ya jana Rais alitakiwa kuwakoromea tu kwa staili aliyotumia kwa akina mgaya badala ya kuwabembeleza na kwamba angewataja kwa majina akina mama Nkya na Kijo Bisimba kwamba ndo walichochea madaktari wagome. Hivi ni sahihi kuwashambulia madaktari kisa wameamua kurudi kazini na kuanza kukejeli role ya wanaharakati katika kutafutia ufumbuzi mgogoro huu. Au nyie mnalionaje hili jamani.

Upeo wao wa kuelewa umeishia hapo hawana tofauti na wale wazee waliokuwa wanampigia jk makofi wakati wanaonyesha dhahiri wana utapiamlo chini wamevaa malapa yaliyojaa vumbi,wanasubiria ubwabwa
 
Wanaharakati hawakuahamasisha mgomo bali walihimiza serikali kuhakikisha wanamaliza mgomo kwa kuongea na madaktari
 
Huyo dogo kwani kuna kitua anafahamu ni mtoto wa juzijuzi tu amesahau alivyokuwa anakuja pale ttcl hq kuomba nauli ya shule kwa mama yake, sasa hivi kukaa kwenye screen tu ashajioni anajua kila kitu mwache amtumikie kafiri...... Lakini ipo siku atajua umuhimu wa dr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom