Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,314
- 5,523
Askari wa Magereza ni rafiki sana wa wafungwa. Askari Magereza ni tofauti kabisa na Polisi. Askari magereza ni kati ya makundi yanayotambua kwamba maisha hayana mwenyewe na alipo mfungwa basi kesho anaweza akawepo yeye. Tofauti kabisa na Polisi, Polisi wajuacho ni wao ni wao, na wanajua kwamba hakuna meingine zaidi yao.
Anayesababisha magereza/jela iwe na picha iliyojengeka kwa jamii ni wafungwa wenyewe na viherehere manyapala.
Otherwise heshima kwenu askari magereza, naikubali sana kazi yenu ni nzuri kwa kweli.
Ila kabla sijaondoka nina kaswaki ka kizushi. Hivi ni kwa nini ni nadra sana kukosa askari wenu kadhaa wakifuga bata kwenye makambi na kota zenu? Kuna mahusiano gani kati ya bata na Magereza?
Yaani umesema kweli kabisa Askari magereza very friendly sijui kwanini................. hawana majishauo kabisa naungana na wewe. hilo la bata hapana sijui