Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Huyo mkurugenzi wa tbs mnamsifia nini..? Wakati wanafunzi wazalendo wanaomba nafasi za kufanya mafunzo kwa vitendo wazungushwa na watu wa chini wake huku yeye akiwa kimyaaa ofisin na barua za maombi zina2mwa kwake wakat huo huo wanafunzi wa nch za nje wanakuja wamechelewa na wanapata nafasi..?sasa mnamsifia nn wakat si mzalendo i think huyu jamaa n mganda.
UMEONA EH!Kwani wewe mpaka leo ujui kwa ni wageni kwanza wazawa baadae.Kuanzia kwenye famili mgeni akija ndo anakula paja alafu watoto vishingo na kipapatio.WHY?