Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Asante mkuu, ila kwa route za mjini fuel consuption ni kama iko juu.
Kaka kama utashindwa kwa hiyo fuel consumption basi nunua passo au ist... Maana Voltz ni moja kati ya gari zinazokula mafuta kidogo kwa gari zenye ukubwa huo... Nimewahi kuitumia hiyo gari hapa Dar though ukweli haikuwa ya kwangu nikaja kununua Altezza, ndugu yangu nunua Voltz kama unaogopa consumption ya mafuta
 
Mimi ninayo ya Mwaka 2004. Nimeitumia tangu 2010 hadi sasa. Sijabadili shock up wala Taa. Nilibadili oxygen sensor baada ya kunipa taadhali baaasi. Nimezunguka sana hadi Sudan ya kusini na wakati narudi nikapitia Congo DRC achilia mbali safari za humu nchini. Ni nzuri kwa safari ndefu na haichoshi. Spare zake hazifi haraka. Nimebadilisha ball joint mara mbili tangu niinunue na pia stabilizer link. Ni gari zuri sana. Nataka kununua jingine kama hali itaruhusu
 
xtrail nyingi body yake sehemu kubwa imeundwa na maplastik kama ya magudulia ya "CELLO" so jiandae kwa kupita mbali na sehemu yenye joto kali ipo siku upo kwenye foleni bodi inaanza kuyeyuka
 
Kwa mtazamo wangu wengi mnaozungumzia x-trail hamuijui na hamjawahi kuimiliki, nimefuatilia comments nyingi zilizotolewa kuhusu x-trail, asilimia kubwa ni za upotoshaji.Ukiamua kumiliki gari yoyote ile, iwe hiyo Rav4, noah, harrier nk cha msingi ni matunzo [service]. Kama ulinunua gari kwa pesa za kuungauka ni dhahiri hata ukipewa toyo itakushinda. Kitu kingine ni kuwa lazima pia ieleweke kuwa watu wana ladha tofauti, kuna wanaokunywa fanta, coca pepsi nk, kuna wanaopenda wanawake wanene, weusi, wembamba nk Msiifanye Tanzania iwe kisiwa eti barabarani ukute mji mzima umejaa Rav4, au noah, haiwezekani. Acheni watu wawe na choice na hayo ndiyo maendeleo. Watu wananunua gari za mil 300 za kutembelea na maisha yanasonga mbele, kama mfuko wako umetoboka kaa pembeni acha kukatisha watu tamaa. Jaribu kufanya utafiti kwenye ma garage uniambie umekuta x-trail ngapi zimekufa. Gari yoyote ile ni matunzo [pesa] kama huna pesa hata hiyo rav4 itakushinda
 
Kweli mkuu humu watu wanaishi kwa kukariri..si kila mtu anapenda hizo toyo zao.
 
Hahahahahahaaaa, mkuu umesema kweli mie huwa mara nyingi nafuata moyo wangu unasema nini! Nilikuja kuomba facts za namna gani harrier 3.0L inatumia mafuta badala yake watu wakaja na maneno kibao kuni-discourage kuhusu harrier badala ya kuniambia inatumiaje katika mazingira yapi ili mimi mwenyewe nifanye maamuzi!

Kiufupi humu JF kila mtu anayebofya computer/smart phones huwa anajua kila kitu! Watu wanashauri waliyoambiwa vijiweni!
 
Toyota Hilux ni matatizo sana offroad hasa wakati wa matope, nilishawahi kutumia Hilux toka Bagamoyo kwenda Tanga kwa njia ya short cut wakati wa mvua...
Ile gari ilifika sehemu ikanasa na tulivyolazimisha zaidi ikaanza kupitisha matope hadi juu ya injini...
Ilibidi ije kubebwa tu kupelekwa garage na kubadili mfumo wa injini wote...
Im pretty sure hukuwa na off-road tires on that spot. Stock tires ni nzuri kwenye lami tu hata hivyo hilux ni nzito kuliko hio Xtrail which puts it into more disadvantage. Next time make sure upo na off-road tires na dereva mzuri uone kama utapata matokeo hayohayo
 
Nissan hasa SUV's zina sifa ya kuwa na uzito na density kubwa na huwa hazichukuliwi na maji kwa urahisi tofauti na Toyota. Pamoja na kuweka fibre bado Nissan ni nzito na inakamata ardhi vizuri. Cheki hapa halafu uniambie kama Toyota Landcruiser inaweza kufanya hivi:

Mi siongei sana we tazama hapa chini.

1.Land Cruiser 150 series hio

2.Land Cruiser 200 na 80 series.
 
Kwa mtazamo wangu wengi mnaozungumzia x-trail hamuijui na hamjawahi kuimiliki, nimefuatilia comments nyingi zilizotolewa kuhusu x-trail, asilimia kubwa ni za upotoshaji.Ukiamua kumiliki gari yoyote ile, iwe hiyo Rav4, noah, harrier nk cha msingi ni matunzo [service]. Kama ulinunua gari kwa pesa za kuungauka ni dhahiri hata ukipewa toyo itakushinda. Kitu kingine ni kuwa lazima pia ieleweke kuwa watu wana ladha tofauti, kuna wanaokunywa fanta, coca pepsi nk, kuna wanaopenda wanawake wanene, weusi, wembamba nk Msiifanye Tanzania iwe kisiwa eti barabarani ukute mji mzima umejaa Rav4, au noah, haiwezekani. Acheni watu wawe na choice na hayo ndiyo maendeleo. Watu wananunua gari za mil 300 za kutembelea na maisha yanasonga mbele, kama mfuko wako umetoboka kaa pembeni acha kukatisha watu tamaa. Jaribu kufanya utafiti kwenye ma garage uniambie umekuta x-trail ngapi zimekufa. Gari yoyote ile ni matunzo [pesa] kama huna pesa hata hiyo rav4 itakushinda
Kabisa Mkuu
 
Watu wanamiliki Bentley itakuwa X Trail
1471715415146.jpg
 
Niliwahi kuomba ushauri hapa jukwaani kuhusu Range Rover, maneno yakunikatisha tamaa yaliyotoka ni mengi, lakini mwisho wa siku nikakubali moyo wangu unataka nini , nikaamua Kuagiza tu liwalo na liwe, dah! Ni taaaaaamu hiyoooooo! Wengi wanaotoa ushauri WA magari sio wataalamu humu
 
Back
Top Bottom