habari mm ni wakala wa forodha tuna deals na kuimport na kuexport magari toka japan to tanzania tunaweza kukutafutia gari zuri kwa gharama nafuu karibu 0716561026Wadau nimejichanga toka 2014 mpaka leo nimetimiza lengo la kama 8000 USD nataka kuagiza Nisaan X-trail toka japan. Mwenye ujuzi wa hiz gari msaada tafadhali. Vipi ulaji wa mafuta, spea, ugumu kwa barabara za bonyokwa hukoooo...
Ndani ya wiki moja amesha fungua na garage yake hapo nyumbani kwake! Na ndani ya mwezi tayari anakuwa na uwezo wa kushusha engine na kuifumua yote na kuirudishia!!Make Wewe ni Mwanamke Olewa na Fundi wa Garage kukabiliana na Changamoto as kipindi hicho.
Kama wewe ni Mwanaume jitahidi upate namna za simu za mafundi kadhaa
Hahaha! Niliwahi kumiliki hicho kipando ilikuwa kabla sijakiwasha kuanza safari natest namba ya fundi wa karibu wa maeneo ninayokwenda kwa kuwa chochote kinaweza tokea!Ndani ya wiki moja amesha fungua na garage yake hapo nyumbani kwake! Na ndani ya mwezi tayari anakuwa na uwezo wa kushusha engine na kuifumua yote na kuirudishia!!
Naijua Voltz kwa kiwango chake. Naweza kukushauri uichukue coz kwa ukubwa haitofautiani sana na Xtrail.Natamani kujua hili pia. Pamoja na voltz aliyosema mdau TO2004
Natamani kujua hili pia. Pamoja na voltz aliyosema mdau TO2004
Natamani kujua hili pia. Pamoja na voltz aliyosema mdau TO2004
Natamani kujua hili pia. Pamoja na voltz aliyosema mdau TO2004
Asante mkuu, ila kwa route za mjini fuel consuption ni kama iko juu.Naijua Voltz kwa kiwango chake. Naweza kukushauri uichukue coz kwa ukubwa haitofautiani sana na Xtrail.
Voltz ilitengenezwa kwa corabollation ya Toyota na General Motors, mwaka 2002 to 2004. Zilitengenezwa units 10,000 tu. Ila usiogope kuhusu spare parts coz inaingiliana na corolla nyingi tu kama Allex, Auris, RunX, corolla saloon etc.
Ina engine ya displacement 1.8L either 2ZZ_GE au 1ZZ_FE zote i4. Ni four wheel drive na hiyo engine unapata 118hp. So ata uko ulipokutaja kuwe na milima au matope usiwe na wasiwasi
Nimewahi endesha hapa Dar kama Mwezi mmoja. Ulaji wake wa mafuta kwa hapa Dar ni 8/9km kwa lita. Highway inafika hadi 11km kwa lita. Sio paperwork I traveled with her Dar to Dodoma once.
Ina shape nzuri na ndani ipo comfortable sana. Handling poa sana.
hapana mkuu, ukiifanyia matengenezo inafika zaidi ya hapo. naona ipo mitaa sawa na wakina Altezza, na baadhi ya 2.0L engine cars.Asante mkuu, ila kwa route za mjini fuel consuption ni kama iko juu.