Magari moja kwa moja toka Japan

Kaka, hebu nipe mwongozo, Mitsubishi Rosa nitapata kwa Tsh ngapi? na je nikiisha toa Advance naweza kupewa hilo Gari, well in case mtaniruhusu kua na hilo Gari, baada ya muda gani natakiwa kumaliza deni?

Mkuu tunayo rosa ya mwaka 95 ambayo inauzwa 29.7million unaweza kutoa advance ya nusu bei lakin hyo balance utatakiwa ulipe baada ya wk 3 gari ikiwa tayar. Karibu mkuu
 
Habari wakuu,
Jana tumefungua rasmi office yetu pale kinondon block 41.
Karibun sana mnaweza tuchek kwa namba hii pia 0768512931.

Kuna mdau aliniuliza kuhusu hiz gar.

2003 toyota wish:TSH9,600,000
2000 mazda tribute:TSH13,000,000
2001 nissan Xtrail:TSH15,700,000
1998 Nadia tshs 8,800,000
 
Bei nafuu sana....

Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m

Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!! Or call 0768512931

TI carina
 

Attachments

  • IMG00007-20130503-0953.jpg
    IMG00007-20130503-0953.jpg
    275.7 KB · Views: 199
Bei zako kubwa..Kama maana hiyo gari cif dar ni btween 3000-3400 ushuru wake ni ni kama USD 3410

Unaweza ukawa upo Sawa mkuu,hiyo ndo bei yetu, karibu next time kwa gari zingine za bei nafuu kama utahitaji
 
Hiyo number haipo hewani. Natafuta noah old model. Kama unazo nipe bei na specification zake. ukipata 4WD itakuwa vizuri zaidi.

Sorry mkuu kwa kutotupata hewan may be network haipo poa but ukiPm ntajibu fasta pia. Ipo hii cc2000,auto,1999, 156000km bei 10m tu! Karibu sana
 
Bei nafuu sana....

Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m

Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!! Or call 0768512931

Unayo suzuki every kama hii unauzaje?
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371468838670.jpg
    uploadfromtaptalk1371468838670.jpg
    83.6 KB · Views: 147
Back
Top Bottom