Magamba waanza kubadili umiliki wa mali zao, ili kujinadaa na lolote litakalo tokea

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Wakuu kuna Rafiki yangu amenitonya kwamba, Rafiki yake ambaye ni mtoto wa Kigogo mmoja ameitwa na Baba yake ghafula leo asubuhi na inasemekana amapewa majukumu ya kusimamia kubadili majina ya umiliki wa mali zao ikiwemo Mashamba, Majumba,Magari na vitega uchumi vingine, na inabidi aende vijijini kwao awandikishe ndugu zao wote hizo mali. Na amemabiwa ndani ya mwezi huu awe amemaliza kusajili mali hizo,
 
Itawasaidia kwa muda tu wakiwa wangalipo madarakani, wakishatoswa systeme ikiamua inawea kufuatilia kila kitu tangu kilipoanznia hadi kilipoishia.
 
Huko ni kujisumbua tu.
Mali za hawa majambazi zinajulikana, hata wafanye sarakasi zipi.
Kwa mfano u-bilionea wa riz1 unajulikana, tunasubili changes kwenye system tumtie kibindoni, atueleze vizuri.
 
Wakuu kuna Rafiki yangu amenitonya kwamba, Rafiki yake ambaye ni mtoto wa Kigogo mmoja ameitwa na Baba yake ghafula leo asubuhi na inasemekana amapewa majukumu ya kusimamia kubadili majina ya umiliki wa mali zao ikiwemo Mashamba, Majumba,Magari na vitega uchumi vingine, na inabidi aende vijijini kwao awandikishe ndugu zao wote hizo mali. Na amemabiwa ndani ya mwezi huu awe amemaliza kusajili mali hizo,

Hata wakibadilisha title bado kivuli chao kitawahukumu, kwani nyaraka zitaonyesha jina la Mmiliki wa kwanza. Mbaya zaidi wananchi wanawajua, na vitu wanavyomiliki wanavijua
 
Mbio za Sakafuni hizo, Hawa majambazi kama wangekuwa na akili timamu wangejijengea Jela mpya kwani tukichukua nchi yetu 2015 wote ni kusekwa ndani pamoja na watoto wao.
 
Pole zao. But katika Transfer source inabaki hasa katika Ardhi Mkuu. Zikitakiwa zitapatikana tu. Hata kama ni kule BRELA, taarifa za awali hazipotei labda uwe umefanya mambo ya KAGODA ndo faili linapotea.
 
wasifikirie kama huo ni ujanja au usalama kwao, bali ni uthibitisho kama wao ni masugu wa kupora mali za Watanzania.
 
Huko ni kujisumbua tu.
Mali za hawa majambazi zinajulikana, hata wafanye sarakasi zipi.
Kwa mfano u-bilionea wa riz1 unajulikana, tunasubili changes kwenye system tumtie kibindoni, atueleze vizuri.

Wajinga hawa, wanapiga Sarakasi wakiwa na taulo, .......watabaki uchi.
 
Back
Top Bottom