Magaidi Wa Taliban Walipovaa Nguo za Kike

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
6332518.jpg

Magaidi wa Taliban walipovaa nguo za kike

Polisi nchini Afghanistan wamewatia mbaroni wanamgambo saba wa Taliban ambao walikuwa wakijificha wasikamatwe kwa kuvaa nguo za kike kama vile magauni na vilemba.
Wanamgambo saba wa Taliban wamekamatwa kwenye mji wa Mehterlam mashariki mwa mji wa Kabul, wakiwa wamevaa nguo za kike kuepuka kunaswa na wanajeshi wa Marekani.

Tukio hilo limetokea huku kukiwa na hali ya wasiwasi mkubwa wa matukio ya kigaidi kufuatia kitendo cha mwanajeshi wa Marekani Sajenti Robert Bales kuwaua kwa kuwapiga risasi watu wazima wanane raia wa Afghanistan na jumla ya watoto tisa.

Hivi karibuni jeshi la Marekani liliunda kikosi maalumu kinachoitwa "guardian angels" ili kuwalinda wanajeshi wa Marekani wanapokuwa wamelala usiku.
1267.jpg

Polisi nchini Afghanistan wamewatia mbaroni wanamgambo saba wa Taliban ambao walikuwa wakijificha wasikamatwe kwa kuvaa nguo za kike kama vile magauni na vilemba.

1266.jpg

1265.jpg

1268.jpg

NIFAHAMISHE news in photos .: Habari na picha :.
 
Hawa nao wameishiwa. Tangu wapoteze dola wamekuwa kama vyangudoa. Aliyekuwa akiwapandisha chati Osama bin Laden ndiyo huyo kesheliwa na samaki. Si waachane na ugaidi wauze bwimbwi kama kawaida yao?
 
Hawa si watu wa Dini?, hiyo bwimbwi wapi na wapi?
 
Huu ndio uzuri wa mavazi 'yanazositiri viwiliwili'....nashauri pia yapatikane mavazi yanayositiri DHAMILA!
 
Ndio msimamo mkali huo,kujifanya mwanamke ruksa,wangewapakua kisamvu cha kopo washike adabu
 
Back
Top Bottom