Mafuta ya ubuyu:

Wakuu mafuta ya ubuyu ni mazuri na ni kweli yanatibu mamdo mengi hasa kuongeza CD4. Ninachopenda kuwatahadharisha watu wameanza kuchakachua ila ukitaka kufahamu ambayo ni sahihi fanya yafuatayo.
1. Rangi yake ni lazima iwe gold light, ukiona ni heavy gold au ni light yellow jua kuna mchanganyo (wanaume clour blind but mnatakiwa kufahamu)
2. Chukua chupa yake halafu inamisha chini na kulaza i.e geuza geuza kila upande, mafuta ya ubuyu huwa hayagandani na chupa hata hivyo hayataonesha mtiririko wowote, ukiona mtiririko jua **** mchanganyo. Kwa wale wanaofahamu Konyagi kawaida ukilaza chupa inakuwa safi kabisa na mafuta ya ubuyu ni lazima yawe hivyo.
3. Mdomoni ni lazima yawe light kabisa, hayana uzito wa mafuta kabisa i.e ni mepeso mno.

4. Taste ya mafuta ya ubuyu ni unique kabisa, ina harufu fulani na ukishaizoea hakuna wa kukubambikiza.

Thanks mkuu kwa maelezo mazuri,siku hizi tunanunua sukari gulu iliyolowekwa kwenye maji na kuchemshwa na tunaambiwa nyuki wadogo,tfda wamelala ofisini wanakula kiyoyozi tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom