Faida za Omega 3 Fat Acid mwilini

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,722
10,226
ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS

Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake.

Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3)

1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU.

👉Mafuta ya samaki yenye omega 3 yanasaidia kupambana na tatizo la cholestral ambayo ni mafuta mabaya yaliyoganda katika mishipa ya damu. Cholestral husababisha matatizo kama shinikizo la damu, kiharusi ,magonjwa ya moyo na mengine mengi.

2) HUONGEZA KINGA YA MWILI NA KULISHA CELL KWA KIWANGO CHA JUU.

👉 Hii kwa asilimia kubwa hupunguza kasi ya maradhi na kupambana na magonjwa zaidi.

3) UKUAJI WA UBONGO NA KUTUNZA KUMBUKUMBU.

👉 25% ya mafuta yanayotokona na samaki ni muhimu kwa kwa afya ya ubongo na utunzaji kumbukumbu. Mafuta haya pia ni muhimu kwa watoto kwani yanaongeza uwezo wao kiakili (intelligence), uwezo wa kutunza kukumbuka. Mtu anayetumia mafuta ya samaki ni vigumu kupatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (Alzheimer’s disease).

MAMA MJAMZITO anashauriwa kutumia mafuta ya samaki kabla,wakati na baada ya kujifungua kwa ajili ya kumsaidia mototo aliyeko tumboni kwa kupata faida tajwa hapo juu (kuongeza uwezo Wa kiakili)

4) HUSAIDIA KULAINISHA JOINTS (LUBRICATION OF JOINTS) NA KUONDOA MAUMIVU YA VIUNGO

👉kadri tunavyo kula vyakula, tunatembea na kufanya shughuli tofauti tofauti, joints za miilini mwetu huchakaa kwa asilimia kubwa. Na ndio maana kuna umri ukifika, hasa wa uzee inapelekea ute ute wa viungio vya kwenye joints (synovial fluid) huisha. Hivyo, mafuta hayo ya samaki husaidia zaidi kuimarisha joints kukaa vizuri pamoja na kurejesha ute ute

5)KUONGEZA UWEZO WA KUONA

👉 Mafuta haya yanasaidia kuongeza uwezo wa macho kuona vizuri na kupambana na matatizo mengine yanayoathiri macho kuona vizuri.

6) HUONDOA VIMBE VIMBE.(UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS), UVIMBE TUMBONI,BAWASIRI,VIDONDA VYA TUMBO NA TEZI DUME KWA AKINA BABA.

👉 Ukiwa mtumiaji wa Mara kwa Mara mafuta haya ya samaaki, kwa asilimia kubwa husaidia kuyeyusha vimbe tofauti tofauti, eidha za vizazi kama Fibroids kwa wakina mama, Prostate kwa akina Baba, viumbe za tumboni, pamoja na bawasiri.

7) KUPUNGUZA KASI YA UZEE

👉 Mafuta ya samaki yanasaidia mwili kuongeza uwezo wa kutumia vizuri chakula (metabolism), yanaongeza afya ya mfumo wa mzunguko wa damu, yanalinda ngozi na miale mibaya ya jua (ultra-violet rays) hivyo kuwezesha mwili kupambana na hali ya uzee.

8) HUIMARISHA AFYA YA NGOZI.

👉 Mafuta hayaa samaki pia yanakiwango kikubwa cha VITAMIN E, Vitamin E ni nzuri kwa afya ya ngozi, huondoa mikunjo kwenye ngozi, huondoa ukavu kwenye ngozi, vipele, vibaka, michirizi, madoa pia hung'arisha ngozi ni nzuri kuliko Cosmatic zenye kemikali.

MWISHO
Licha ya kuona faida zote hizo kama tayari una magonjwa haya Cancer,
Macho, Moyo, fibroids (Uvimbe kwenye kizazi)*bawasiri, iharusi, vidonda vya tumbo,tezi Dume, shinikizo la damu (pressure), matatizo ya hedhi
Ovarian cyst,Uvimbe tumboni.
 
ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS

Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake.

Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3)

1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU.

👉Mafuta ya samaki yenye omega 3 yanasaidia kupambana na tatizo la cholestral ambayo ni mafuta mabaya yaliyoganda katika mishipa ya damu. Cholestral husababisha matatizo kama shinikizo la damu, kiharusi ,magonjwa ya moyo na mengine mengi.

2) HUONGEZA KINGA YA MWILI NA KULISHA CELL KWA KIWANGO CHA JUU.

👉Hii kwa asilimia kubwa hupunguza kasi ya maradhi na kupambana na magonjwa zaidi.

3) UKUAJI WA UBONGO NA KUTUNZA KUMBUKUMBU.

👉25% ya mafuta yanayotokona na samaki ni muhimu kwa kwa afya ya ubongo na utunzaji kumbukumbu. Mafuta haya pia ni muhimu kwa watoto kwani yanaongeza uwezo wao kiakili(intelligence), uwezo wa kutunza kukumbuka. Mtu anayetumia mafuta ya samaki ni vigumu kupatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu(Alzheimer’s disease).
MAMA MJAMZITO anashauriwa kutumia mafuta ya samaki kabla,wakati na baada ya kujifungua kwa ajili ya kumsaidia mototo aliyeko tumboni kwa kupata faida tajwa hapo juu (kuongeza uwezo Wa kiakili)

4) HUSAIDIA KULAINISHA JOINTS (LUBRICATION OF JOINTS) NA KUONDOA MAUMIVU YA VIUNGO

👉kadri tunavyo kula vyakula, tunatembea na kufanya shughuli tofauti tofauti, joints za miilini mwetu huchakaa kwa asilimia kubwa. Na ndio maana kuna umri ukifika, hasa wa uzee inapelekea ute ute wa viungio vya kwenye joints (synovial fluid) huisha. Hivyo, mafuta hayo ya samaki husaidia zaidi kuimarisha joints kukaa vizuri pamoja na kurejesha ute ute

5)KUONGEZA UWEZO WA KUONA

👉Mafuta haya yanasaidia kuongeza uwezo wa macho kuona vizuri na kupambana na matatizo mengine yanayoathiri macho kuona vizuri.

6)HUONDOA VIMBE VIMBE.(UVIMBE KWENYE KIZAZI( FIBROIDS),UVIMBE TUMBONI,BAWASIRI,VIDONDA VYA TUMBO NA TEZI DUME KWA AKINA BABA.

👉Ukiwa mtumiaji wa Mara kwa Mara mafuta haya ya samaaki, kwa asilimia kubwa husaidia kuyeyusha vimbe tofauti tofauti, eidha za vizazi kama Fibroids kwa wakina mama, Prostate kwa akina Baba,Vimbe za tumboni,pamoja na bawasiri.

7) KUPUNGUZA KASI YA UZEE

👉Mafuta ya samaki yanasaidia mwili kuongeza uwezo wa kutumia vizuri chakula(metabolism), yanaongeza afya ya mfumo wa mzunguko wa damu, yanalinda ngozi na miale mibaya ya jua(ultra-violet rays) hivyo kuwezesha mwili kupambana na hali ya uzee.

8).HUIMARISHA AFYA YA NGOZI.

👉Mafuta hayaa samaki pia yanakiwango kikubwa cha VITAMIN E, Vitamin E ni nzuri kwa afya ya ngozi,huondoa mikunjo kwenye ngozi,huondoa ukavu kwenye ngozi,vipele,mabaka ,michirizi,madoa pia hung'arisha ngozi ni nzuri kuliko Cosmatic zenye kemikali.

MWISHO
Licha ya kuona faida zote hizo kama tayari una magonjwa haya Cancer,
Macho,Moyo,fibroids (Uvimbe kwenye kizazi)*bawasiri ,kiharusi,vidonda vya tumbo,tezi Dume,shinikizo La damu (pressure),matatizo ya hedhi
Ovarian cyst,Uvimbe tumboni
 
ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI OMEGA 3 FAT ACIDS

Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake.

Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3)

1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU.

Mafuta ya samaki yenye omega 3 yanasaidia kupambana na tatizo la cholestral ambayo ni mafuta mabaya yaliyoganda katika mishipa ya damu. Cholestral husababisha matatizo kama shinikizo la damu, kiharusi ,magonjwa ya moyo na mengine mengi.

2) HUONGEZA KINGA YA MWILI NA KULISHA CELL KWA KIWANGO CHA JUU.

Hii kwa asilimia kubwa hupunguza kasi ya maradhi na kupambana na magonjwa zaidi.

3) UKUAJI WA UBONGO NA KUTUNZA KUMBUKUMBU.

25% ya mafuta yanayotokona na samaki ni muhimu kwa kwa afya ya ubongo na utunzaji kumbukumbu. Mafuta haya pia ni muhimu kwa watoto kwani yanaongeza uwezo wao kiakili(intelligence), uwezo wa kutunza kukumbuka. Mtu anayetumia mafuta ya samaki ni vigumu kupatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu(Alzheimer’s disease).
MAMA MJAMZITO anashauriwa kutumia mafuta ya samaki kabla,wakati na baada ya kujifungua kwa ajili ya kumsaidia mototo aliyeko tumboni kwa kupata faida tajwa hapo juu (kuongeza uwezo Wa kiakili)

4) HUSAIDIA KULAINISHA JOINTS (LUBRICATION OF JOINTS) NA KUONDOA MAUMIVU YA VIUNGO

kadri tunavyo kula vyakula, tunatembea na kufanya shughuli tofauti tofauti, joints za miilini mwetu huchakaa kwa asilimia kubwa. Na ndio maana kuna umri ukifika, hasa wa uzee inapelekea ute ute wa viungio vya kwenye joints (synovial fluid) huisha. Hivyo, mafuta hayo ya samaki husaidia zaidi kuimarisha joints kukaa vizuri pamoja na kurejesha ute ute

5)KUONGEZA UWEZO WA KUONA

Mafuta haya yanasaidia kuongeza uwezo wa macho kuona vizuri na kupambana na matatizo mengine yanayoathiri macho kuona vizuri.

6)HUONDOA VIMBE VIMBE.(UVIMBE KWENYE KIZAZI( FIBROIDS),UVIMBE TUMBONI,BAWASIRI,VIDONDA VYA TUMBO NA TEZI DUME KWA AKINA BABA.

Ukiwa mtumiaji wa Mara kwa Mara mafuta haya ya samaaki, kwa asilimia kubwa husaidia kuyeyusha vimbe tofauti tofauti, eidha za vizazi kama Fibroids kwa wakina mama, Prostate kwa akina Baba,Vimbe za tumboni,pamoja na bawasiri.

7) KUPUNGUZA KASI YA UZEE

Mafuta ya samaki yanasaidia mwili kuongeza uwezo wa kutumia vizuri chakula(metabolism), yanaongeza afya ya mfumo wa mzunguko wa damu, yanalinda ngozi na miale mibaya ya jua(ultra-violet rays) hivyo kuwezesha mwili kupambana na hali ya uzee.

8).HUIMARISHA AFYA YA NGOZI.

Mafuta hayaa samaki pia yanakiwango kikubwa cha VITAMIN E, Vitamin E ni nzuri kwa afya ya ngozi,huondoa mikunjo kwenye ngozi,huondoa ukavu kwenye ngozi,vipele,mabaka ,michirizi,madoa pia hung'arisha ngozi ni nzuri kuliko Cosmatic zenye kemikali.

MWISHO
Licha ya kuona faida zote hizo kama tayari una magonjwa haya Cancer,
Macho,Moyo,fibroids (Uvimbe kwenye kizazi)*bawasiri ,kiharusi,vidonda vya tumbo,tezi Dume,shinikizo La damu (pressure),matatizo ya hedhi
Ovarian cyst,Uvimbe tumboni
Je vidonge vyake vinavyouzwa kwenye pharmacy vina faida hizo?
 
ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS

Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake.

Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3)

1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU.

👉Mafuta ya samaki yenye omega 3 yanasaidia kupambana na tatizo la cholestral ambayo ni mafuta mabaya yaliyoganda katika mishipa ya damu. Cholestral husababisha matatizo kama shinikizo la damu, kiharusi ,magonjwa ya moyo na mengine mengi.

2) HUONGEZA KINGA YA MWILI NA KULISHA CELL KWA KIWANGO CHA JUU.

👉Hii kwa asilimia kubwa hupunguza kasi ya maradhi na kupambana na magonjwa zaidi.

3) UKUAJI WA UBONGO NA KUTUNZA KUMBUKUMBU.

👉25% ya mafuta yanayotokona na samaki ni muhimu kwa kwa afya ya ubongo na utunzaji kumbukumbu. Mafuta haya pia ni muhimu kwa watoto kwani yanaongeza uwezo wao kiakili(intelligence), uwezo wa kutunza kukumbuka. Mtu anayetumia mafuta ya samaki ni vigumu kupatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu(Alzheimer’s disease).
MAMA MJAMZITO anashauriwa kutumia mafuta ya samaki kabla,wakati na baada ya kujifungua kwa ajili ya kumsaidia mototo aliyeko tumboni kwa kupata faida tajwa hapo juu (kuongeza uwezo Wa kiakili)

4) HUSAIDIA KULAINISHA JOINTS (LUBRICATION OF JOINTS) NA KUONDOA MAUMIVU YA VIUNGO

👉kadri tunavyo kula vyakula, tunatembea na kufanya shughuli tofauti tofauti, joints za miilini mwetu huchakaa kwa asilimia kubwa. Na ndio maana kuna umri ukifika, hasa wa uzee inapelekea ute ute wa viungio vya kwenye joints (synovial fluid) huisha. Hivyo, mafuta hayo ya samaki husaidia zaidi kuimarisha joints kukaa vizuri pamoja na kurejesha ute ute

5)KUONGEZA UWEZO WA KUONA

👉Mafuta haya yanasaidia kuongeza uwezo wa macho kuona vizuri na kupambana na matatizo mengine yanayoathiri macho kuona vizuri.

6)HUONDOA VIMBE VIMBE.(UVIMBE KWENYE KIZAZI( FIBROIDS),UVIMBE TUMBONI,BAWASIRI,VIDONDA VYA TUMBO NA TEZI DUME KWA AKINA BABA.

👉Ukiwa mtumiaji wa Mara kwa Mara mafuta haya ya samaaki, kwa asilimia kubwa husaidia kuyeyusha vimbe tofauti tofauti, eidha za vizazi kama Fibroids kwa wakina mama, Prostate kwa akina Baba,Vimbe za tumboni,pamoja na bawasiri.

7) KUPUNGUZA KASI YA UZEE

👉Mafuta ya samaki yanasaidia mwili kuongeza uwezo wa kutumia vizuri chakula(metabolism), yanaongeza afya ya mfumo wa mzunguko wa damu, yanalinda ngozi na miale mibaya ya jua(ultra-violet rays) hivyo kuwezesha mwili kupambana na hali ya uzee.

8).HUIMARISHA AFYA YA NGOZI.

👉Mafuta hayaa samaki pia yanakiwango kikubwa cha VITAMIN E, Vitamin E ni nzuri kwa afya ya ngozi,huondoa mikunjo kwenye ngozi,huondoa ukavu kwenye ngozi,vipele,mabaka ,michirizi,madoa pia hung'arisha ngozi ni nzuri kuliko Cosmatic zenye kemikali.

MWISHO
Licha ya kuona faida zote hizo kama tayari una magonjwa haya Cancer,
Macho,Moyo,fibroids (Uvimbe kwenye kizazi)*bawasiri ,kiharusi,vidonda vya tumbo,tezi Dume,shinikizo La damu (pressure),matatizo ya hedhi
Ovarian cyst,Uvimbe tumboni
Malizia hapo mwishoni. Umesema, “ licha ya kuona faida bla blaaa hujamalizia,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom