Mafuriko yanayoendelea kutokea Morogoro baada ya mvua kubwa kuendelea kunyesha

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
Mvua zinazoendelea mjini morogoro zimeleata maafa makubwa ambapo hadi mda huu ni kwamba baadhi ya barabara hazipitiki baada ya maji kujaa barabarani.
Maeneo yalio pata mafuriko ni pamoja na KIGURUNYEMBE,MASIKA kuja HADI STAND YA DALADALA
MASWAYETU BLOG tunaendelea kukuletea habari zaidi endelea kuwa nasi;





baadhi ya maeneo ya moro hali ikiwa ni mbaya




baadhi ya magari yakishindwa kupita vizuri(picha na uongozi mzima)

 
Back
Top Bottom