Mafuriko yafunga njia Manyara

maimbi

Member
Sep 2, 2011
40
9
nipo hapa manyara mjini ni metokea tarangire nilitakiwa niingie manyara national park mchana huu then nika overnight karatu niendelee na safari nimekwama hapa nje ya manyara national park daraja limechukuliwa na mafuriko njia imejaa mawe makubwa hasa nimekwa zaid ya masaa matatu na wageni !naona wanajesh wanafanya kaz ya kuyaondoa mawe hapo na katapila likisawazisha njia! hali ni mbaya mpaka sasa wameshakufa watu wawili.
 
RUDI NYUMBANI...Waambie na hao weupe wasipime kina cha maji kwa mguu...!!:hatari:
 
Back
Top Bottom