Mafuriko na Ulabu

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
687
Aisee nimecheka sana leo. Yaani these people have made my boxing day japo hakuna zawadi hata moja niliyopewa jana. Nipo naangalia ITV nawaona waathirika wa mafuriko Dar ambao wapo kwenye makambi maalum wanatandika Bia (beer) aina ya Safari eti wanajiliwaza na mafuriko. Watanzania bwana, Bata popote haijalishi mazingira wala nyakati
Long live Tanzania.
 
Back
Top Bottom