Nimepita mda si mrefu pale sijaamini macho jinsi maji yanavyoanza kukatiza mitaani.Jamani napigiwa na jamaa yangu mmoja mto kawe umepasuka maji yameanza kuingia hadi kwenye n yumba za mbezi beach tankibovu kule chini watu wameshindwa kutoka watoto wanapiga kelele tv na biashara zingine ziko ndani ya maji
kwa wenye kutoa m saada tafadhali wasiliana na huyu dada alie jiran yao 0713 40 11 00
kazi ipo kwa kweli
Simu ya msaada ya polisi haipokelewi
Mungu atunusuru. Mimi pia nimezingirwa na maji huku Mabibo nashindwa kutoka nje! ikiendelea tu ama na huku mto ukicheua basi imekula kwangu!!!
duh imeanzia philipines sasa inahamia tz nini? ee Mungu tunusuru kwani hatuna uongozi wa nchi wa kuweza kutoa msaada, hela yote imetumika sherehe za miaka hamsini ya uh........
ngoja wengine tuzibue vyoo vyetu sasah..!!
Mkuu, mafuriko na hizi mvua ni dunia nzima...au JK anausika?
Hii mvua ya leo ni kubwa kuliko ya jana, kwani jeshi la uwokoaji liko wapi jamani! Kama jana ilikuwa vile leo itakuwaje, tusidanganyane polisi watapita na helkopta kutushangaa kama walivyofanya jana! Jeshi la uwokoaji hii ndo kazi yao