Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
wanasema tumeweza na tunasonga mbele...
Tena wanasema huku wamebetua vifua vyao mbele bila hata haya.
Wanatuonyesha makomandoo uchwara wakionyesha umahiri wao wa ushupavu! Nilicheka sana siku ile maana hata Al-Qaeda wana video yao ikiwaonyesha wakila tizi kama hao makomandoo wetu walivyokuwa wanaonyesha.