Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mkuu as we speaking, kuna kundi la askari lipo tau likifanya masailiano kwaajili ya officer cadet course ambapo among them kuna specialists (doctors) 72..

Duuh haya mambo bila ya kuwa mfatiliaje unaachwa hivihivi ukija shtuka watu wameshaanza couz
 
Ndio Mkuuu nilifanya application ngome

siku hizi kuna changes mkuu hata hao unaosikia wanafanya usaili wa cadet walianza na pre cadet pale ruvu kama sikosei
Shukrani mkuu swali lingine mkuu kama hutojali
Uliomba lini ? maana haya mambo usipokuwa mfuatiliaji utaachwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom