Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mmoja wapo wewe unaekurupuka kushutumu bila kusoma na kuelewa nilicho maanisha. Ktk maandishi yangu umeona nimemnyooshea mtu kidole kuwa hana utimamu wa akili?? nimemzungumzima askari na si raia kama wewe. Lean to read bro.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Nani raia? walishanitoa uraia mda mrefu
 
Sasa mtu kama mimi nipo chuo sasa ivi namaliza mwezi wa saba shahada na nina mpango niunge jeshi baada ya chuo, lakini tayari nilipita JKT kwa mujibu wa sheria (namaanisha huu utaratibu uliorudishwa wa kumaliza form six unaenda jkt miezi mitatu ), inamaana sisi jeshini hatuendi au kuna utaratibu mwingine? Tafadhali mwenye fununu kuhusu hili msaada....
Inabid upitie tena jkt kwa kijana wa kujitolea
 
Kumaliza Jkt wa kwa mujibu hakuhusiani na kuripoti kwa Jkt wa kujitolea muda ukifika wa kujitolea wataitwa tuu kuweni na subira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom