Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Wazalendo tutaenda tu wakuu Mungu yu nasi.
Inasemekana 18+ Mwezi sept.
Hii ni Lonja so tusitaftane.
 
usubiri sasa bora muende vyuo mkasome muongeze skills hakuna depo mpaka next year
Kana acha Ujinga Mura.
Sisi tuko kitaa tunaendelea na maisha kama kawaida huku tukisubiria Tamko kutoka Sehemu husika na wewe fanya yako achana na sisi kabisaaa.
Wee na mwenzako Nanga ni Manyang'a tu hamna lolote.
Wee unaongea habari ya Intake kuwa next year kama nan
Umeulizwa?
Mnajifanya Wanajeshi na yule Fara mwenzako Ukute Ni Mgambo wa UKUTA ngoja wahusika wanawaona Ujinga mnaoandika andika hapa wakiwataka wanawadaba kama kuku wa kisasa.
Kama ni Wanajeshi kweli zingatieni ETHICS Za kazi yenu, na kama ni Manyang'a wa kitaa tu You need to be keen.
Wazee wa kazi nakaa nao naishi nao tena Seniors wanazingatia job ETHICS zao mpaka natamani na mimi Makanya Mtoto Mungu anijalie nije kuwa kama wao wala hawana shobo kama nyie watoto wa Mujibu mlivonashobo hapa.
 
Hao jamaa huwa ni shidaaa
 
Back
Top Bottom