Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

itakua vizuri kama kuna yoyote mwenye mawasiliano na mtu wa ZENJI, ili atujpe Ronja kamili...sio akina Nkangaa na wenzake uwongo mwingi...OVAAAAAA
 
wewe ndio mpotoshaji namba moja kwenye huu uzi ukifuatiwa na mwenzio the Nangest wa kwata mmekuwa mnaleta habari za uongo jukwaani sijui kwa lengo gani?
kwani amekosea kusema? kama kwel unajua leta taarfa humu ndani co unaropoka ropoka tu kwa bit
 
ndugu sijakuelewa kwani wewe ndiye uliyeleta hiyo habari? katika hii fani epuka kiherehere kitakucost
Acha uboya ndugu, tatizo unataka kujifanya unajua kumbe kapuku tuu....

Kaa pembeni wenye ronja zao wazilete au unataka kuongeza namba ya comments tu.
 
Back
Top Bottom