Mafundi wa Android Software tukutane hapa

Mzurulaji

JF-Expert Member
Sep 25, 2021
280
567
Habari zenu wakuu, kila kazi zinaushirikiano.
Hivyo ningependa kuwa na ushirikiano na mafundi wezangu kwa kila kitu.

Hapa tunaweza kushare Firmware, Au Tricks mbalimbali za kutatua matatizo ya Software kwa upande wa Android.

Pia natoa huduma ya Kushare Dongle na Tools kwa atakayehitaji maana kuna kazi, hazipiti kwingine isipokuwa kwa hizi tools na Dongle.

Nashare.

Unlock Tools.

TFM tools.

NCk dongle.

Na unlock network, na remove Frp kwa simu yoyote ile. Na remove password.

Kwa msaada wa crack box ninazo za kutosha, ideas za kutatua changamoto ni free kabisa. Na hata Crack box natoa Free kabisa Crack box ninazo nyingi na nyingine ni tested kabisa.
 
Back
Top Bottom