Mafundi magari wa chini ya miti

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,418
7,032
Habari zenu!
Mafundi magari wa DSM hasa nyie wa vichochoroni (chini ya miti) miyeyusho sana.

Hamuelekezeki na mnakuwa wakali wakali sana hata kama mkiharibu kazi. Mna mambo ya kishamba sana.

Mna ujuaji mwingi mno hata kwenye vitu msivyovijua.

Kwanza wengi ni mafundi wa kufunga na kufungua pekee. Na gari ikiletwa inasumbua umeme, hamtaki kukiri kuwa hamuwezi. Mnaparanganya mpaka mnazidi kuongeza ugonjwa. At the end mnakuwa wakali baada ya kuharibu.

Kwa kilichonikuta kwa gari yangu, sipeleki tena gari chini ya mwembe. Majitu mabishi, kichwani elimu 0. Lugha na kauli ni mbovu za matusi matusi, mnafikiri mteja anayejielewa atarudi mara ya pili kwa kukuta mazingira ya kauli zenu mbovu?

Ningetukana bonge la tusi, ila acha nikae kimya. Jueni mnazingua mno.
 
Tatizo nini mkuu?
 
Pole sana.
Hao mafundi wa chini ya miti hapa Dsm walioharibu gari yako wako mitaa ipi ili na sisi tuchukue tahadhari?
 
Hata siku moja
Halafu ukisema lazima wawe na garage za uhakika na walipe kodi na watambulike
Utaambiwa acha roho mbaya
Sisi wenyewe tunazidi kuwa masikini na kuumizana kwa ajili ya wapumbavu kama hao
Kabisa. Tunachekeana mno kaka. Ifike wakati hali hii ife. Kwanza hawana good communication. Imagine umepeleka gari unakuta lugha zinazoongeleka ni matusi tupu na lugha za kihuni. Hivi kama mtu unayejielewa utarudi tena siku nyingine?
 
Mimi huwa sielewi kila nikirudi bongo nakuta niliowaacha chini ya miti bado wapo tu na maendeleo zero
Yaani bado watu wa dhiki tu miaka nenda rudi
Yaani huwezi kukuta amehamia sehemu kubwa anachapa kazi kaweka vifaa vipya na technology mpya

Utapeli kwenda mbele na umasikini hauishi
Angalia wote hali moja kuanzia wao, carpentry, builders njiaa ndio kibao, electrician nao pia yaani hata vifaa shida unamuita anakuja kesho na vifaa vingine hana

Yaani serikali yenyewe inaona sawa tu
Mpaka mnasamehe majizi kwenye ripoti ya CAG hapo usisubiri mabadiliko
Kuna bwana afya nilimuona wilaya moja kaja kukagua migahawa kalewa kavaa yebo yaani shida kila mahali
 
daaah
 
Hao wapiga ramli ukiwachekea watakutia hasara mpka ujute, mimi kuna mwaka walininunulisha gearbox kumbe iliyopo hata haina shida, shida ilikuwa control box!
 
Hahahaha aisee. Kumbe shida ilikuwa TCM... poor analysis ndiyo tatizo lao. Wengi ni wa kufunga na kufungua. Si professionals. Ilikuwa gearbox ya gari gani kaka?
 
Habari zenu!
Mafundi magari wa DSM hasa nyie wa vichochoroni (chini ya miti) miyeyusho sana.

Hamuelekezeki na mnakuwa wakali wakali sana hata kama mkiharibu kazi. Mna mambo ya kishamba sana.

Mna ujuaji mwingi mno hata kwenye vitu msivyovijua.

Kwanza wengi ni mafundi wa kufunga na kufungua pekee. Na gari ikiletwa inasumbua umeme, hamtaki kukiri kuwa hamuwezi. Mnaparanganya mpaka mnazidi kuongeza ugonjwa. At the end mnakuwa wakali baada ya kuharibu.

Kwa kilichonikuta kwa gari yangu, sipeleki tena gari chini ya mwembe. Majitu mabishi, kichwani elimu 0. Lugha na kauli ni mbovu za matusi matusi, mnafikiri mteja anayejielewa atarudi mara ya pili kwa kukuta mazingira ya kauli zenu mbovu?

Ningetukana bonge la tusi, ila acha nikae kimya. Jueni mnazingua mno.
Boss kimekukuta nn?
 
Back
Top Bottom