Mafua ya mara kwa mara

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Wanajamii naomba msaada wenu wife anasumbuliwa na mafua ya mara kwa mara; yakimpata anatumia dawa anapona baada ya muda mfupi (siku 7 hadi 10) yanarudia tena.
Tiba yake ni nini?
 
T
Wanajamii naomba msaada wenu wife anasumbuliwa na mafua ya mara kwa mara; yakimpata anatumia dawa anapona baada ya muda mfupi (siku 7 hadi 10) yanarudia tena.
Tiba yake ni nini?
Tumia vitamiin c kwa wingi, mpaka 3000ml a day
 
Mafua ni dalili kuu ya mwanamke kuwa mbali na mwanaume! je wewe ni nyoka wa bandia??
 
akacheck allergy mkuu.....afahamu ni nini sababu ili aweze kuepuka hali hiyo.......
 
Dawa ya Mafua na kichwa
Chukuwa Mafuta Zeti Zaituni (Olive oil) Fresh Tia Kidogo Katika Puwa Pakapaka Ndani Ya Puwa Yako Kabla Ya Kulala.

Au hi tumia MAANDALIZI Chukua maji lita moja
Chukua asali vijiko 3 vikubwa vya chakula
Chukua tangawizi ya unga kijiko kimoja kikubwa cha chakula au chukua tangawizi mbichi itwange upate mchanganyiko uliopondeka kijiko kimoja kilichojaa.

Chemsha mchangyanyiko wako wote huo kwa pamoja mpaka ichemke vizuri inategemea na moto wa jiko lako lakini mpaka utakapoona imechemka vizuri usiache ikakaukia jikoni nashauri dakika 15 hadi 20 inatosha.

Kisha iache ipoe kunywa nusu glasi mara tatu kwa siku yaani asubuhi , mchana na usiku.

Kwa wale walio na mafua sugu yanadondoka muda wote na kupiga chafya nyingi sana zisizo na idadi basi zitakata mara moja na siku ya pili zitaisha kabisa kumbuka kunywa dawa hii mwezi mzima au hadi miezi miwili utapona kabisa.
 
kaka mimi mwenyewe nilkuwa hvyohvyo solution ni rahc sana mwambie ajtahd kuwa msafi wa mazngira na mavaz, atumie sabun za kawaida, aache ku2mia perfumes na manukato mengne kwa kuzngatia vitu hvyo mimi tatzo langu lilipona
 
Uliponaje asee, mim mafua ni kila siku
 
Back
Top Bottom