Mafriji Ya BOSS

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Hi wanajamvi,

hivi haya mafrji ya BOSS yanatoka wapi, maana sikuhizi yamejaaa hapa Bongo, inaonekana yanauzika sana kushinda mengine. nimejaribu kuyafuatilia kwenye mtandao lakini wapi hii kitu haipo, lakini kwa nini in warant ya miaka 2 kama mengine!!? ina maana yana ubora?

Kija jamaa alikuwa ananifungua tongotongo kuwa haya mafriji meni yana inbuilt stabilizer, ni ya coil tofauti na mengine ya SAMSUNG na LG WP ambayo mengi ni ya fern!! Kuna member aliyewahi kuyatumia, isije ikawa tunanaunua majina ya makampuni LG na mengineyo!!

Asanteni kwa kunijuza

xp
 
Wewee usidanganyike na hizo cheapest chinese products, ukitaka kununu friji nunu brand ya WESTPOINT!

Chema chajiuza, kibaya chajitembeza! shauri yako 'akili kichwani'
 
hahahahah yaha bana!! ila sio chip kama unayocema!!! lol
 
kilikuwa na suti za BOSS pia msisahau!!! kwa ushirikiano kati ya China na Madafu(TZ) LOL!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom