Elections 2010 Mafisadi wa ccm wanyimwe kura za ndioo!!!

Tz Asilia

Member
Oct 30, 2009
45
1
1.Sasa kumekucha *2 Jogoo limewika Tanzaniaa! Oktoba 31,2010, Kada wa CCM anyimwe kura za Ndio *2
Yupo wapi?
/Yule pale,yule pale Fisadi mwenzao,Fisadi wa CCM anyimwe kura za ndiyo*2
2.Monduli kumekucha*2 Jogoo limewika Arushaa Oktoba 31,Lowassa anyimwe kura za ndiyo
Yupo wapi?
/Yule pale,yule pale Monduli mjini! Fisadi wa CCM, anyimwe kura za ndiyo*2
3.Igunga kumekucha* 2 Jogoo limewika Taboraaa! Oktoba 31,Rostom Aziz anyimwe kura za ndio.
Yupo wapi?
/Yule pale,yule pale Tabora Mjini Fisadi wa CCM anyimwe kura za ndio*2
4.Rombo kumekucha*2 Jogoo limewika Mooshi! Oktoba 31.Mramba anyimwe kura za ndiyo*2
Yupo wapi?
/Yule pale,yule pale Rombo Mooshi! Fisadi wa CCCM anyimwe kura za ndiyo*2
5.Bariadi kumekucha *2 Jogoo limewika mwaanza! Oktoba 31,Mzee wa Vijisenti Chengee! anyimwe kura za ndio.
Yupo wapi?
/Yule pale,yule pale Bariadii! Fisadi wa CCM anyimwe kura za ndio *2


SASA KUMEKUCHAAA*2 JOGOO LIMEWIKA OKTOBAAA 31 MAFISADI WA CCM WANYIMWE KURA ZA NDIOO!!!
 
kawimbo nimekapenda. Jamani inaimbwa tu humu JF au ipo hot kwenye ground

:dance::A S thumbs_up::grouphug:
 
Back
Top Bottom