"Mafanikio" ya Tanzania kwenye Elimu

Wanji

Member
Jul 28, 2010
64
4
Wakati Tanzania imepata Tuzo huko new york kwa mafanikio katika elimu utafiti hapa nyumbani unaonyesha hali tofauti kuhusu ubora wa elimu yenyewe. Someni ripoti hizo.

John
 
Attachments

  • Are Our Children Learning Embargoed Until Sept 21 1100 hours.pdf
    1 MB · Views: 51
  • Are Our Children Learning.pdf
    429.1 KB · Views: 52

Tanzania imepata tunzo ya kuandikisha wanafunzi wengi kwenye daftari, lakini watoto wengi waliomaliza darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika.
 
Tanzania imepata tunzo ya kuandikisha wanafunzi wengi kwenye daftari, lakini watoto wengi waliomaliza darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika.

Afadhari wewe unajua mkuu. Kila siku watu wanadangaywa lakini ukiangalia hali halisi ni tofauti sana na inavyosemwa. Wanalazimisha ku enroll watoto lakini facilities hakuna. Walimu hakuna, wanaosemwa kuwa wameongezwa na serikali wengi ni incapable, wameenda tu kufundisha ili wawe na ajira si kama wana mwito na wanapenda kazi hiyo, as a result watoto wanamaliza shule za msingi wakiwa watupu kabisa.
 
Wakati Tanzania imepata Tuzo huko new york kwa mafanikio katika elimu utafiti hapa nyumbani unaonyesha hali tofauti kuhusu ubora wa elimu yenyewe. Someni ripoti hizo.

John

Ukiona UN na western countries wanaisifia Tanzania ujue kuwa kuna jambo, si bure. They need something in return, watu au nchi zinazo-initiate kutoa pongezi hizo kuna kitu ambacho wanakitaka kutoka Tanzania. UN inajua vizuri kabisa hali ya elimu Tanzania na inajua kabisa kupiga hatua kwenye suala la elimu sio enrollments tu, tunaishi nao hapa na wanaona shule zetu for sure they are smart enough not to tell lies. They have a reason why they say so.
 
Tatizo hilo linaisha,
UDOM itatoa walimu 15,000
UDSM inatoa almost 1000
Muce wote
Duce wote
Sua
Mzumbe
Mwenge
na vyuo vingine.
Yaani hata kama Slaa au Lipumba angeshinda hana cha kujisifia kwani hata kama wewe ungekuwa rais ajae tatizo la walimu lingekwisha. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Big up Jakaya kwani ni wazi kuwa tatizo hilo linakwisha. Wajinga ndo wadanganywao.
Nilikuwa nasikia kampeni za slaa mara nitafuta kodi mara ada sasa sijui hiyo serikali yake ataendeshaje. UBABAISHAJI, YES UBABAISHAJI. Ndesa anasema eti MOshi ndo inacchangia pato kubwa katika serikali, wakati Dar iatoa zaidi ya asilimia 74. I said UBABAISHAJI. Tukutane 0ct 31 kwenye kapu la kupigia kuru. No longolongo.
 
Sishangai kwa kuwa wewe ni NGWENDU.
 
Back
Top Bottom