Mafagio ya lowasa mnatia bidii

Licha ya jina lake kuchafuka kila kona ya Tanzania lakini huyu nadhani ni kiongozi mtekelezaji na si mzungumzaji.

Nakumbuka mwaka 2001,alimkaripia Mwandisi wa maji mkoa wa Lindi Bw.Monjesa,wakati huo alikua waziri wa maji na mifugo na kumpa masaa 24 na kuahidi kumuadhibu kama asingetekeleza.

Wakazi wa kata ile walipata maji.Embu mwenye kumbukumbu nzuri za utekelezaji wake atumwagie!

kwanin usitamani awe basha wako.

Ni kweli utendaji wake mzuri sana kama alivyofanya kwa vitendo rechmond.
Vip na wew ashakutenda(chapanao) nin??
 
kwanin usitamani awe basha wako.

Ni kweli utendaji wake mzuri sana kama alivyofanya kwa vitendo rechmond.
Vip na wew ashakutenda(chapanao) nin??

Mkuu,hayo ndo matatizo ya watu ambao hamkwenda shule.Nilidhani ungefikiri kwa kina nina maana gani?Ahsnte kwa post yako!
 
Mkuu naungana nawe kuhusu utendaji wa lowasa.Kuna wakat alikuja brbr ya shekilango enz hzo mkuu wa mkoa ni babake january.Ile brbr haikuwa mbovu ila ilikuwa na mahandaki(imeharibka kupta kias) akamuliza mzee makamba mbna hali hii?Mara akawageukia wakandaras husika na kuwataka waanze ujenz mara 1 kwa kuwa fedha zilishatolewa ila cjui walikuwa wanataka kuzpga,akawakurupua brbr ikakarabtiwa na had leo ipo mzuka,pili nakumbuka kuna mkuu wa wilaya fulan (sory nimeisahau) alikuwa anakwamisha zoez la ugawaji wa chakula kwa ajil ya kupunguza balaa la njaa.Alim fire na chakula kikagawiwa kwa wahuska.Jamaa ni mchapa kaz bas tu kuwajibka kwake ndo kunamfanya aonekane mbaya.
 
Licha ya jina lake kuchafuka kila kona ya Tanzania lakini huyu nadhani ni kiongozi mtekelezaji na si mzungumzaji.

Nakumbuka mwaka 2001,alimkaripia Mwandisi wa maji mkoa wa Lindi Bw.Monjesa,wakati huo alikua waziri wa maji na mifugo na kumpa masaa 24 na kuahidi kumuadhibu kama asingetekeleza.

Wakazi wa kata ile walipata maji.Embu mwenye kumbukumbu nzuri za utekelezaji wake atumwagie!

Sasa hivi ni zamu ya akina mama. Miaka yote 50 wamekuwa wanaume tuu....! waonaje akiwa Sophia Simba? Au Asha Rose Migiro?
 
Mkuu naungana nawe kuhusu utendaji wa lowasa.Kuna wakat alikuja brbr ya shekilango enz hzo mkuu wa mkoa ni babake january.Ile brbr haikuwa mbovu ila ilikuwa na mahandaki(imeharibka kupta kias) akamuliza mzee makamba mbna hali hii?Mara akawageukia wakandaras husika na kuwataka waanze ujenz mara 1 kwa kuwa fedha zilishatolewa ila cjui walikuwa wanataka kuzpga,akawakurupua brbr ikakarabtiwa na had leo ipo mzuka,pili nakumbuka kuna mkuu wa wilaya fulan (sory nimeisahau) alikuwa anakwamisha zoez la ugawaji wa chakula kwa ajil ya kupunguza balaa la njaa.Alim fire na chakula kikagawiwa kwa wahuska.Jamaa ni mchapa kaz bas tu kuwajibka kwake ndo kunamfanya aonekane mbaya.

Kuna thread ya kigezo cha Urais kwa mwaka 2015. Kasaidie kutupia hoja zako.
 
Ahsante mkuu,nakumbuka brbr ya Shekilango jamaa alisimama barabarani na kutoa agizo la ukarabati wa ndani ya miezi 6 huku mvua ikimnyeshea.
 
Kuna thread ya kigezo cha Urais kwa mwaka 2015. Kasaidie kutupia hoja zako.

Hakuna mbaya anaekosa kupendwa au mzuri anaeokosa kuchukiwa!

Kumbuka tu tukio la juzi kuhusu Gaddaf mengi mazuri ameyafanya Libya lakini licha ya hayo bado wako waliokua wanamchukia na kupewa jina kua ni dikteta.
 
licha ya jina lake kuchafuka kila kona ya tanzania lakini huyu nadhani ni kiongozi mtekelezaji na si mzungumzaji.

Nakumbuka mwaka 2001,alimkaripia mwandisi wa maji mkoa wa lindi bw.monjesa,wakati huo alikua waziri wa maji na mifugo na kumpa masaa 24 na kuahidi kumuadhibu kama asingetekeleza.

Wakazi wa kata ile walipata maji.embu mwenye kumbukumbu nzuri za utekelezaji wake atumwagie!

umetumwa na nani?unaonaje ungempa nafasi ya kuongoza familia yako kama unayo?na wewe ni mmoja wa waathilika wa ugonjwa wa penda penda bila sababu za msingi unaomba wengine wakuwekee mazuri aliyotenda ili uzidi kumpenda?acha ujinga wa kujipendekeza kama hujatumwa,hizo bidii zako zitumie kufanya kazi za msingi ili kuongeza kipato na kuachana na hao mafisadi.
 
Hakuna mbaya anaekosa kupendwa au mzuri anaeokosa kuchukiwa!

Kumbuka tu tukio la juzi kuhusu Gaddaf mengi mazuri ameyafanya Libya lakini licha ya hayo bado wako waliokua wanamchukia na kupewa jina kua ni dikteta.

hujanielewa... Nimekupa tu mwaliko. Mi sijali atachukua Lowassa au Slaa. Mi sijali. Ila nimeandaa uzi kuhusu kigezo kimoja kupima Rais anayetufaa. Hajakosolewa Lowassa mle wala hajatajwa kwa jina! Huo ni mwaliko tu. Kwa taarifa yako tangu 1995 hadi hii juzi 2010,mimi marais ninaowachagua hawajawahi kushinda so sijali sana. Ila karibu kule.
 
Tunajenga hoja, mwaka 2015 tunataka rais awe mwanamke (Japo kwenye uspika tumemuweka amechemka sasa tunataka kumtoa)

BTWN, Lowasa ni mchapa kazi japo naye hakosi kasoro zake kama binadamu, lakini kasoro zake zina afadhali kuliko rais mwenye kichwa cha nazi anayeongoza nchi fulani.........
 
Wanaotajwa kwa urais

Ndani ya CCM, kinyang’anyiro cha urais kinawahusisha wanasiasa vijana ambao umri wao ni kati ya miaka 40 na 50, wanasiasa wenye umri kati ya miaka 50 na 60 na kundi la wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 ambao wametumikia nchi tangu uhuru.

Wanasiasa vijana wanaotajwa ni pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Emmanuel Nchimbi, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu, Mbunge wa Bumbuli, January Makamba na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye.

Katika kundi la umri wa kati wapo Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya, Waziri Mkuu aliyejiuzulu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk Asha-Rose Migiro.

Kundi hilo pia linawajumuisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe.

Katika kundi la wenye umri zaidi ya miaka 60 wanaotajwa ni pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta.
source:mwananchi
 
Sasa mbona half ya cabinet ya mawaziri ndo wanawania hiyo nafasi.kama ni kweli 2015 CCM will be in pieces.
 
Sasa mbona half ya cabinet ya mawaziri ndo wanawania hiyo nafasi.kama ni kweli 2015 CCM will be in pieces.

mpaka sasa hivi hawa ndio wanaonekana na mmoja wapo kati ya hawa ndio atakuwa mgombbea
 
Back
Top Bottom