Maex muwe mna move on

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Niliachana na baba mtoto wangu, akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Kusex tu alafu tukimaliza ananipa p2.

Safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
 
Hii ndiyo sababu watu wanaogopa single mother.
Nawewe kwanini ulikubali kufanya nae hizo mambo wakati unajua hawezi kuwa mumeo tena na hawezi kuwa mpenzi wako pekee?
Kibaya zaidi unakubali kulishwa makemikali (P2) nikisema hujitambui hujielewi nitakosea?
 
Niliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
Mtoto mnamleaje?
 
Kazi kweli kweli.

NAMUHURUMIA HUYO BWANA WAKO MPYA.

SINGLE MOTHER MNACHANGAMOTO SANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Niliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
Unatakiwa huku ujibu maswali usikimbie uzi wako.
 
Wewe ni sample tu,ya baadhi ya wanawake..... machoni pa watu,mtu anasema hawezi kusex na ex,wakikutana.... mtanañge unaendelea....
Mwanamke ninayemuamini ni bikra tu,bora aje abadilikie kwangu.... hana kumbukumbu yoyote iwe nzuri au mbaya na mwanaume yeyote zaidi yangu.
 
Niliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
Unajua madhara ya hizi P2?

Anakupa unafakamia tu!

Na ni mume wa mtu tayari. Ulikuwa unategemea nini hasa kutoka kwake?

Unawaaibisha masingo maza wenzio wanaojitambua; na unaendelea kukoleza ule moto wa kwamba singo mazazi hawafai maana huendelea tu kulalwa na baby daddies wao.

Unasikitisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom