Maeneo yapi kwa Dar yana hoteli nzuri zenye faragha 100% na bei nafuu

Njoo huku.
20240124_134508.jpg
 
Nenda Kimara Mwisho, Kuna Lodge niliwahi Kulala wakati nawahi usafiri Mbezi.

Ilikuwa ni ya shilingi 30k Kwa 25k

Imetulia sana Kwa mazingira yake.

Ukitokea Ubungo ukifika pale Kimara Mwisho Kuna njia unaingia upande wa kushoto, utaenda na hiyo njia Kwa barabara ya Vumbi baada ya kuvuka Pub na Duka la madawa Kwa mbele utaingia Kulia.
 
Au aende Sativa Lodge ipo Mbezi karibu kabisa na Morogoro Road
 
Back
Top Bottom