KunjyGroup
JF-Expert Member
- Dec 7, 2009
- 352
- 26
Ndugu zangu mimi ni huku Zambia.
- Mafuta yashushwa kwa K492 kwa litre
- Mshahara kima cha chini K2,000,000 kwa wafanyakazi wa migodini, makampuni yote ya wawekezaji (hado Shoprite).
- Ballot papers zitakuwa zinachapishwa Zambia kuanzia mwakani. Rais alisema, Kwanini miaka 47 ya uhuru tunaendelea kuchapicha nje ya nchi? Kama ni gharama, tutaingia tu
- Mawaziri wapunguzwa kutoka 23 hadi 19.
- Amedai pia kwamba haoni umuhimu wakuwa na wakuu wa wilaya.