Maelezo ya Prof. Mwandosya kuhusu maji Dar

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,214
79,466
wajemeni naona Jamii forums ni vuguvugu la great thinkers maana baada ya disapproval ya utendaji wa huyu bwana leo hii nimeona akiulizwa kwanini maji hamna dar! Jibu lake...wale wanaomtetea wataona jinsi anavyojikanyaga! hivi tutaendelea kuwa Obsessed na watu kama hawa mpaka lini? where is the sense of urgency in us Watanzania? hivi wengi wetu hapa tunajua gharama ya maji katika bajeti zetu au tushajizoelea kuwa maji ni gharama namna hiyo!
 
Mimi binafsi ni waziri wa familia yangu wa maji - kwa kisima changu. - Serikali haijawawahi kunisaidia Kipunguni ninakoishi. Ninajua asilimia kubwa ya watanganyika hata hawawezi kumudu kujibinafsishia uwaziri wa maji. Hiyo ni tragedy ya kweli kweli, kwani maji ni uhai.
 
point yako nini? sijakuelewa? amekataa kutumia pesa aliyopewa ya kutosha kabisa kutatua tatizo la maji? au pesa ipo mipango hamna? aziache basi wafanyie kazi mawaziri wazuri wanao chapa kazi yeye tuachane nae maana ndiyo amekuwa CCM. Ulitegemea ajibu nini katika serikali hii nzuri namna hii inayo jali mawazo ya wataalamu wetu na uzalendo wa hali ya juu kiasi hili?
 
huyo jamaa amekosa maarifa anakurubuka kumeshakucha! nakuunga mkono apishe wengine watakaoweza kuleta maji dar
 
wajemeni naona Jamii forums ni vuguvugu la great thinkers maana baada ya disapproval ya utendaji wa huyu bwana leo hii nimeona akiulizwa kwanini maji hamna dar! Jibu lake.............wale wanaomtetea wataona jinsi anavyojikanyaga!!

Jibu lake lilikuwa lipi?

Kwa faida ya wote ambao hawakumsikia, ni bora useme hapa alijibuje ili watu wachambue jibu lake (kama ni la kujikanyaga au la..)

Bila hivyo tutaendelea kujadili personalities badala ya issues
 
you spoke my mind
 
kwangu mie amejikanyaga maana anasema funds hazikutosha ila hajaeleza mafanikio hata ya hizo alizopewa maana huwezi kusema tu rasilimali hazikutosha kiujumla namna hiyo bila kuainisha mafanikio wa rasilimali ulizopewa! In short hamna nchi/wizara yenye budget inayotosha duniani!
 
Nilishaachana na suala la maji ya serikali sijui ruvu down mara ruvu up toka 1994 nina kisima 100m down maji kama ya mvua wana bahati hamna maporomoko karibu ningetengeneza umeme wangu
 
Wakuu msimlaumu sana huyu jamaa kawekwa pale kama mtego tu..... ulishaona wapi mtaalamu wa software akawa mtaalamu wa usambazaji maji!!!!
 
Back
Top Bottom