Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
Maelfu wamekaa kwenye darasa???hawa ni baadhi ya watu maelfu ambao walihudhuria mkutano wa Mama Kikwete huko Lindi
Au mimi naona vibaya?
Wametoshaje?
Au ndio kweli kwamba mikoa ya kusini kwa ulozi ni noma, wengine ni invisible lakini wamo humo humo?