baba enock mimi mshamba wa jiji kariakoo naogopa kuibiwa ila kama hakuna alternative basi nielekeze hata huko nitaenda mimi nimeibiwa cheni kariakoo mwaka jana hadi leo napaogopa!
nawashukuru sana wadau mmenipa mwanga nitaenda kesho na kuonyesha shukrani zangu naombeni viuno size zenu ili niwanunulie zawadi.
kiuno 32. nasubiri hiyo zawadi. sipati picha sijui ni zawadi gani hii.lol
mabibo ipi?napendaga nguo za mitumba pia!