Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Dah!!.....kumbe inawezekana shetani akizeeka anaweza kuwa malaika.
Fafanua bwana mkubwa!
Dah!!.....kumbe inawezekana shetani akizeeka anaweza kuwa malaika.
Inatuhusu nini Watanganyika?
Hii thread ungeipeleka kwenye blog ya Wazanzibar, sijui inaitwa Mzalendo dot net kama sikosei.
wanasiasa kama JUSA wanazidi kuimaliza zanzibar!mkitaka ukombozi wa fikra ipokeeni M4C...
.Ni upumbavu na udogo wa fikra zenu wote mnaodhani matatizo ya Znz si ya Tanzania. You are sick in minds and you need help! F...k .u!
.Acha ubaguzi mkuu, mbona mambo ya dunia nzima tunayajadili hapa? Kama huna la kuchangia bora ungekaa kimya!
Two wrongs don't make a right. Nashauri tuvumuliane na kujadili hoja bila kuangalia inatoka wapi. Na kwa maoni yangu wanachokita watu wa Zanzibar ndicho hicho hicho wanachikita watu wa Tanganyika, kwamba kuwe na serikali kamili kwa kila upande, na kama ni muungano basi tupitie upya au tujadili aina ya muungano unaofaa kwa zama za sasa. And this time around, kuwepo na mkataba wa kimaandishi na sio kuchanganya udongo.
Mkuu mbona hii mada haihusu Muungano?
mimi nashahuri jf moderators wangeanzisha jukwaa kwa ajili ya zanzibar kwani kiukweli humu wanaonekana kubaguliwa. Poleni sana ndugu zangu wazenji.
.
.
Nilikuwa nataka kuchangia kitu hapa .... lakini ... mara tu nilivyomuona huyo jamaa mwenye Avatar inameremeta hapo juu wa mwisho .... nikaona ... aagh .... hamu yote imeisha! ... ngoja nikae kando kwanza nitafakari vizuri ......
Usije ukapewa zawadi ya
Ntarudi baadae. ...ngoja niendelee kutafakari iwapo kuna ulazima wa kuchangia hapa

Nimetaja muungano kwa sababu kiini cha 'u-sisi na u-wao' ni madai ya muungano. Sasa hivi watanganyika waona Zanzibar ni nchi jirani na hivyo kinachotekea huko hakiwahusu, na wakati huo huo Zanzibar wanaona Tanganyika ni 'koloni' ng'ang'anizi.
Mkuu, na yeye alikuwa anaongoza kwa watu wakupigwa Ban
Inatuhusu nini Watanganyika?
Hii thread ungeipeleka kwenye blog ya Wazanzibar, sijui inaitwa Mzalendo dot net kama sikosei.
Acha ubaguzi mkuu, mbona mambo ya dunia nzima tunayajadili hapa? Kama huna la kuchangia bora ungekaa kimya!
Kwa hio jamii forum walengwa ni watanganyika baadae semeni wenyewe ni wakristo baadae semeni wenyewe chadema hakika hii dhambi utatumaliza watanzania kwa ujinga wa watu wachache tu
Kweli mkuu?