Madokta walikataa kunywa Juice

hawakwenda Ikulu kunywa Juice, walikuwa sahihi kabisa kama alivyofanya Mwalimu Peter Mashanga kwa Mzee mwinyi enzi zileeeeeee kwa wanaokumbuka
 
Mambo ya Polinium 210 unadhani Madaktari hawayajui! Fuatilia academic records za Madaktari uone. Hawa ni vipanga kwenda mbele!
 
Wamekunywa na kula na walipotoka hapo kimyaaa, hawajapata usingizi waliyoyakuta huko. Wanajuuta kwenda Ikulu, lakini ndio wametia adabu wameelewa huko kuna vichwa.

Huko wamesha Mkonvinsi Rais wa US aake Tanzania siku 4 wakati hakuna aliyewahi kukaa masaa 24? unafanya mchezo. Huko kuna vichwa vilivyi konvinsi white house ya US kuwa Rais wa kwanza kuingia Ikulu katika awamu mpya atakuwa ni kutoka hapo Ikulu. Unafanya mchezo?
 
Back
Top Bottom