Madokta walikataa kunywa Juice

Wamekunywa na kula na walipotoka hapo kimyaaa, hawajapata usingizi waliyoyakuta huko. Wanajuuta kwenda Ikulu, lakini ndio wametia adabu wameelewa huko kuna vichwa.

Huko wamesha Mkonvinsi Rais wa US aake Tanzania siku 4 wakati hakuna aliyewahi kukaa masaa 24? unafanya mchezo. Huko kuna vichwa vilivyi konvinsi white house ya US kuwa Rais wa kwanza kuingia Ikulu katika awamu mpya atakuwa ni kutoka hapo Ikulu. Unafanya mchezo?
Unamsifia kuingia ikulu ya wengine wakati ameshindwa kuongoza nchi inaenda kombo? Wewe kweli kichwa cha panzi asiyejua mbele wala nyuma
Madrs wanajua ndio maana walikataa juisi za kifisadi isije kuwa ya Mwakyembe kwao
 
Wamekunywa na kula na walipotoka hapo kimyaaa, hawajapata usingizi waliyoyakuta huko. Wanajuuta kwenda Ikulu, lakini ndio wametia adabu wameelewa huko kuna vichwa.

Huko wamesha Mkonvinsi Rais wa US aake Tanzania siku 4 wakati hakuna aliyewahi kukaa masaa 24? unafanya mchezo. Huko kuna vichwa vilivyi konvinsi white house ya US kuwa Rais wa kwanza kuingia Ikulu katika awamu mpya atakuwa ni kutoka hapo Ikulu. Unafanya mchezo?
we unafikiri kidogo hata kama ni wewe migodi yote hailipi kodi wamepewa dhahabu bure bushi anakuja si kuwapenda wa tz ni kuchukuwa vito
halafu madocta wa kweli wamekaa na prezdaa masaa mengi sio kazi ndogo
 
Wamekunywa na kula na walipotoka hapo kimyaaa, hawajapata usingizi waliyoyakuta huko. Wanajuuta kwenda Ikulu, lakini ndio wametia adabu wameelewa huko kuna vichwa.

Huko wamesha Mkonvinsi Rais wa US aake Tanzania siku 4 wakati hakuna aliyewahi kukaa masaa 24? unafanya mchezo. Huko kuna vichwa vilivyi konvinsi white house ya US kuwa Rais wa kwanza kuingia Ikulu katika awamu mpya atakuwa ni kutoka hapo Ikulu. Unafanya mchezo?
Kweli kuna vichwa...! Wewe lazima utakuwa FaizaFoxy maana mahaba yako kwa JK hayana kipimo. Ila kweli kuna vichwa kama kipimo ni kumuweka rais wa marekani nchini siku 4 au kuchaguliwa kama rais wa kwanza africa kukaribishwa ikulu ya marekani awamu mpya ilipoanza.
 
wamekunywa na kula na walipotoka hapo kimyaaa, hawajapata usingizi waliyoyakuta huko. Wanajuuta kwenda ikulu, lakini ndio wametia adabu wameelewa huko kuna vichwa.

Huko wamesha mkonvinsi rais wa us aake tanzania siku 4 wakati hakuna aliyewahi kukaa masaa 24? Unafanya mchezo. Huko kuna vichwa vilivyi konvinsi white house ya us kuwa rais wa kwanza kuingia ikulu katika awamu mpya atakuwa ni kutoka hapo ikulu. Unafanya mchezo?

acha ushabiki ndugu
kufanya negotiation ya kuuza nchi na kusign mikataba kwa muda wa siku nne ni dharau ya hali ya juu kweli hapo kwenu kuna vichwa aisee....

Usipotoshe juisi walikataa ila msosi baadae walikula baada ya mkuu kuuonja ...
 
Wamekunywa na kula na walipotoka hapo kimyaaa, hawajapata usingizi waliyoyakuta huko. Wanajuuta kwenda Ikulu, lakini ndio wametia adabu wameelewa huko kuna vichwa.

Huko wamesha Mkonvinsi Rais wa US aake Tanzania siku 4 wakati hakuna aliyewahi kukaa masaa 24? unafanya mchezo. Huko kuna vichwa vilivyi konvinsi white house ya US kuwa Rais wa kwanza kuingia Ikulu katika awamu mpya atakuwa ni kutoka hapo Ikulu. Unafanya mchezo?

HATUKUINYWA tulishapewa janja ya nyani tena na wa kule kule ndani kwake. Hata mkono wake nusura tuukatae!
 
ully akuwa na unafiki alimwambia mzee kwa hali halisi hatuna hamu ya kula wala kunywa chochote ikaishia hapo wakanza story
 
Kusema la ukweli hili ni jambo la kusikitisha sana tena sana. Na itaingia kwenye historia ya nchi kuwa kuna kipindi watu walikosa imani hata kukataa kunywa juice Ikulu! Kama taifa tulilokuwa tunaitana NDUGU tumefikaje hapo? Na tutakaje?
 
unajua JK ANA AKILI SANA PAOJA NA UMPOPO WAKE ALIJUA HAWA JAMAA KUNA WENGINE WAKINGIA IKULU
NIMEMALIZA SHUGULI WENGINE WAKAHAIDIW AKUCHOMOLEWA KWENYE SAFARI ZAKE AKIOONGOZANA NA WAZIRI WA AFYA WATAKUWA WAKIALIKWA
LUV U TANZANIA
 
Ulimboka, Mwakyembe, Mwandosya.....hadi raha kuwa upande wa akina .....mwa.........lakini sisi kwetu........wameja hawa ........rweyemam.............Bana,...............Mukandara.................matatizo matupu.........angalau akina.....rwaitama........mwesiga.............
 
Kweli hawakunywa, yaani wameongea masaa sita na mkuu bado tu koo zao hazikukauka ? Basi kama ni kweli hiyo sio dalili nzuri kwa mwenyeji wao (inaumiza sana kama mwenyeji uko decent halafu mgeni anakufanyia vitendo vya kukufanya uonekane sio decent).
 
Back
Top Bottom