OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Chama cha mapinduzi CCM Wilaya Rorya kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili kutangaza kuachia nyadhifa zao
Waliochukua hatua hiyo ni Ongujo wakibara Diwani wa kata ya Mkoma shirati na Lukio
Ambogo diwani wa kata ya nyaongo,katika madai yao madiwani hao wamesema
wamechukua uamuzi huo kutokana na CCM makao makuu kukithiri kwa Rushwa Ongujo na
Ambogo walisema '' Sisi tumeamua kuachia nafasi za udiwani katika kata zetu na kuachia
wanachama wengine kuwania nafasi hizo kutokana na uongozi wa CCM kukithiri kwa
Rushwa ,hali hii inatishia uhai wa chama yusuph Makamba katibu mkuu wa CCM na huyu repota wa ITV na Radio one
george maratu wananjaa kali imefika kioindi wamepofuka wanachoangalia ni matumbo yao
tu ,hawajali maslai ya jamii tena tunashangaa ITV na Radio one kwanini wameshindwa
kumuondoa george maratu kuwa ripota wao hapa musoma huyu mwandishi ni mla
rushwa mkubwa amekuwa msemaji wa Lameck Airo badala ya kurepoti habari zenye tija"'