Lowasa kapotea njia
tingatinga kama hayupo vilee....kiiimyaaa!!
Kikwete upo?
Sitashangaa kama ndani ya siku mbili hizi nikisoma mahali pameandikwa;
BREAKING NEWS; Magufuli aamua kujitoa na kusema jamani mie basi sitaki tena maana siyawezi haya mafuriko chagueni mwingine apeperushe bendera aibu sitaki.