Obe
JF-Expert Member
- Dec 31, 2007
- 9,982
- 34,476
NA HII NDIO NAIROBI-THIKA ROAD..ON TIME ON BUDGET, NO POLITICS
......... na kuonesha wanamaanisha nini kodi yao inatumika vema na wenye mamlaka, sasa Nairobi wanataka kuachana na matatu, treni za katikati ya jiji.
Sisi hapa kila siku longolongo na tunashuhudia viongozi wakiimarisha mageti ya nyumba zao badala ya kuhudumia barabara na miundombinu mingine muhimu