Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,320
- 33,125
haya ndio madhara ya kutumia vyakula vya junk food Unen wa kupita kiasi jihadharini ndugu zangu wabongo
@ummu kulthum Nilishangaa kipindi kile unaniambia unataka Dawa ya Unene unaona huyo kiumbe anavyotaabika? wewe hivyo hivyo kimbau mbau chako unapendeza mwanamke ukiwa mwembamba unapendeza hata ukiwa chumbani na mpenzi wako anafurahi kwa uzuri wako. Ulaya wanawake wembamba ndio wanaopendwa zaidi kuliko wanawake wanene. Wanawake wanene hawana thamani Ulaya.jamani anataabika bora nibaki hivi hivi kibaubau
@ummu kulthum Nilishangaa kipindi kile unaniambia unataka Dawa ya Unene unaona huyo kiumbe anavyotaabika? wewe hivyo hivyo kimbau mbau chako unapendeza mwanamke ukiwa mwembamba unapendeza hata ukiwa chumbani na mpenzi wako anafurahi kwa uzuri wako. Ulaya wanawake wembamba ndio wanaopendwa zaidi kuliko wanawake wanene. Wanawake wanene hawana thamani Ulaya.
@Nzowa Godat Labda wazungu wa kibongo sio wazungu wa Ulaya mkuu. Wazungu wa Ulaya wanawapenda wanawake wembamba wa ki Model sio Wanawake Wanene Matinginya ,Matinginya wanawake wanene huko huko kwetu East Africandio wana thamani , ulaya hao Wanawake wanene yaani Matinginya hawana thamani ndio maana watu weusi huku ulaya wana waowa hao wanawake Weupe Matinginya na kupata Makaratasi ya kuishi ulaya ( resident paper for Europe).Asikudanganye mtu wazungu wanavutiwa sana na "big 'n black booty".
haya ndio madhara ya kutumia vyakula vya junk food Unen wa kupita kiasi jihadharini ndugu zangu wabongo
Mkuu@Amavubi kwani MC Donald's bongo ipo? Na kama ipo hiyo MC Donald's ipo mji gani? Dar au Arusha?Hiyo menyu inapatikana wapi hapa Bongo???
<center style="color: rgb(255, 255, 255); font-family: verdana, geneva, lucida, 'lucida grande', arial, helvetica, sans-serif; ">Is Junk Food Killing Us?</center>
Stay tuned!
Is Junk Food Killing Us? - Assata Shakur Speaks - Hands Off Assata - Let's Get Free - Revolutionary - Pan-Africanism - Black On Purpose - Liberation - Forum
@pmwasyoke Usile vyakula vya MC Donald's vyakula vya Junk Food, utanusurika na huo Unene wa Utinginya mkuu.Mimi naogopa hizo picha we Mzizi