Madhara ya kutumia Mchanganyiko wa asali na kitunguu swaumu

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
Wakuu naombeni ufafanuzi juu ya faida na hasara za matumizi ya mchanganyiko wa ASALI NA PUNJE KADHAA ZA KITUNGUU SWAUMU mara kwa mara!

Nn kaz yake mwilini na je kuna madhara yoyote juu ya utumiaji wa mchanganyiko huu?

Nawasilisha!!!
 
Kumbe kuna madhara?
Ngoja waje watuelimishe.
Mimi hutumia kama dawa hiyo mixer, natwanga punje kadhaa za vitunguu swaumu natia asali naichanganya naiacha masaa mawili na kuendelea Kisha naiweka kinywani navuta mate nameza, alooo kama Nina mafua ama kifua kinaishaaaaa ila inaumaaaa na ninaisikia inavyosambaa mwili mzima
 
Back
Top Bottom