truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 337
mhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu
Uzushi.
mhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu
ukivaa ndom wewe lazma iwe kimini....kweli kabisa
kama yangu ni nene nch3 na urefu nch6 na nusu napata sana shida na iyo mipira
Kwa iyo na ww ni baadh ya wanaume!
ukivaa ndom wewe lazma iwe kimini....
hahaha ndo wale wanavaa condomu mlegezo!
mmh ndonmaana unajiita ZE DUDU
ndo rasilimali pekee uliyonayo hahahahahaha
Hivi unajua navyokutafuta?
Hata mimi nakutafuta.....haahh nimeamia mkoa wa pwani
Hata mimi nakutafuta.....
nimeamia mkoa wa pwani
asprn acha uchokozi! utavamiwa!
Asprin ndo nani?? Nakuja mwenyewe kiume.
mi nashangaa kwanini ndom ni free size wakati nanii hizi sio free size
shida sasa wengine ndom zinapwaya, wengine vimini n.k
nashauri ziwekwe small, medium, large,extra large na extra extra large....

Amefanya uchunguzi-Naomba kumwakilishaShostisto umejuaje???