Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Hii bila shaka ni Afghanistan maeneo ya Kabul
Wamekosea hapa:Hebu rudia kukokotoa hesabu zako, manake mimi naona hawa watu wako sahihi, vinginevyo wasingelivuta kama wamekosea.
Hii ni formula ya nini mkuu?Wamekosea hapa:
U {g} = Mzك
Kumbe ndio maana hata akili za hawa jamaa hapa jirani na dar zinafanana