Gwota
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 205
- 92
Ni muda mrefu sasa kurugenzi ya habari na uenezi kupitia kwa Tumaini Makene imekuwa ikishauri wa namna ya kutumia kila fursa inayopatikana kukitangaza chama itumiwe ipasavyo, Cha kushangaza ama kwa dharau, au uzembe au ukosefu wa uelewa wa kutosha bwana Makene na maofisa wenzake (Isipokuwa Mnyika kwa kuwa jambo hili ni ndogo na lilitakiwa liwezwe na hawa akina makene na wenzake) wameshindwa kabisa kuwa wanaweka Full video za hotuba za kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Imekuwa ni kawaida kwa Bwana makene kuweka hotuba hizi katika Full text i.e maandishi pekee na hakuna sababu za msingi zinazomfanya yeye na timu yake kushindwa ku-upload na video za hotuba hizi ktk mitandao hii km vile youtube, jf etc.
Kuna faida nyingi sana za kuwa na video hizi zikiwa full video kushinda maandishi (ieleweke sijasema maandishi yasiwekwe) kama vile
Ni jambo la ajabu sana kwa chama kama chadema ambacho tunategemea kiende ki-Digital eti leo hii ukitaka hotuba za mwaka jana (ya zitto t undo inapatikana) katika video hauwezi kuzipata, Udhaifu unaoendelea katika kurugenzi hii inatakiwa uondlewe haraka ili kurahisisha uenezi wa chama.
Asanteni nawasilisha

- Kusaidia kwa wale ambao hawakupata fursa za kusikiliza bunge kuweza kuangalia badae ni nini kilisemwa na kambi rasmi ya upinzani bungeni
- Youtube ni sehemu muhimu sana ya kumbukumbu hata siku za mbele mtu unaweza kusikiliza
- etc.