Chadema hawana Idara ya Itikadi na Uenezi hivyo hawajui inafanyaje kazi; hawana Uhalali wa kumkosoa Makonda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Pale Chadema mtu yoyote anafanya jambo lolote ndio sababu mzee Duni Haji wa ACT Wazalendo aliwaita ni Ukoo wa Kambale wote Wana ndevu.

CCM ni Chama kikubwa chenye Idara na Kurugenzi mbalimbali tofauti kabisa na vyama vingine.

Wengi wanaomkosoa Komredi Makonda hawajui maana ya Mkuu wa Itikadi na Uenezi.

Mezani kwa Makonda ndipo ilipo Ilani ya CCM hivyo Watendaji wote wa Serikali wanawafunika Kwake kisiasa.

Hawa Mawaziri wote Boss wao ni Komredi Makonda na Wakizingua anawaripoti kwenye Sekretarieti ya Chama ambayo inamshauri Mteuzi mkuu Rais wa JMT ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Mlezi wa vyama vya siasa.

Bavicha mmeelewa?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
 
Pale Chadema mtu yoyote anafanya jambo lolote ndio sababu mzee Duni Haji wa ACT Wazalendo aliwaita ni Ukoo wa Kambale wote Wana ndevu

CCM ni Chama kikubwa chenye Idara na Kurugenzi mbalimbali tofauti kabisa na vyama vingine

Wengi wanaomkosoa Komredi Makonda hawajui maana ya Mkuu wa Itikadi na Uenezi

Mezani kwa Makonda ndipo ilipo Ilani ya CCM hivyo Watendaji wote wa Serikali wanawafunika Kwake kisiasa

Hawa Mawaziri wote Boss wao ni Komredi Makonda na Wakizingua anawaripoti kwenye Sekretarieti ya Chama ambayo inamshauri Mteuzi mkuu Rais wa JMT ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Mlezi wa vyama vya Siasa

Bavicha mmeelewa?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Wewe umesoma science? Mbona unatumia simu ya "tachi" na unaendesha gari bila ufundi wa magari.
 
Pale Chadema mtu yoyote anafanya jambo lolote ndio sababu mzee Duni Haji wa ACT Wazalendo aliwaita ni Ukoo wa Kambale wote Wana ndevu

CCM ni Chama kikubwa chenye Idara na Kurugenzi mbalimbali tofauti kabisa na vyama vingine

Wengi wanaomkosoa Komredi Makonda hawajui maana ya Mkuu wa Itikadi na Uenezi

Mezani kwa Makonda ndipo ilipo Ilani ya CCM hivyo Watendaji wote wa Serikali wanawafunika Kwake kisiasa

Hawa Mawaziri wote Boss wao ni Komredi Makonda na Wakizingua anawaripoti kwenye Sekretarieti ya Chama ambayo inamshauri Mteuzi mkuu Rais wa JMT ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Mlezi wa vyama vya Siasa

Bavicha mmeelewa?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
hivi yule Msemaji wao aliendaga wap?
Na Mzee wa kubwekabweka joni manyika yuko wap siku izi
 
Chadema hawaongozi nchi bwashee, hivyo scope yao ya kufanya siasa sio sawa na CCM wenye serikali, tofautisha hapo kwanza.

Chadema kuwa na msemaji anatosha kutoa taarifa za chama, hawa hawazunguki mikoani kutatua kero za watanganyika.
Utetezi wa kijinga sana tena wakitoto
 
Pale Chadema mtu yoyote anafanya jambo lolote ndio sababu mzee Duni Haji wa ACT Wazalendo aliwaita ni Ukoo wa Kambale wote Wana ndevu

CCM ni Chama kikubwa chenye Idara na Kurugenzi mbalimbali tofauti kabisa na vyama vingine

Wengi wanaomkosoa Komredi Makonda hawajui maana ya Mkuu wa Itikadi na Uenezi

Mezani kwa Makonda ndipo ilipo Ilani ya CCM hivyo Watendaji wote wa Serikali wanawafunika Kwake kisiasa

Hawa Mawaziri wote Boss wao ni Komredi Makonda na Wakizingua anawaripoti kwenye Sekretarieti ya Chama ambayo inamshauri Mteuzi mkuu Rais wa JMT ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Mlezi wa vyama vya Siasa

Bavicha mmeelewa?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Uhalali ndio nini, ccm ndio standard ya vyama vya siasa Tanzania? hizo idara zilizochakaa hata kuzitamka ni lazima kila chama kiwe nazo??? hata maneno mnayotamka yanadhihirisha uwezo wenu wa kubuni na kufanya mambo ulishagota kitambo, mnasurvive kwa mazingaombwe na kutetea vitu vya kijinga jinga kama hivi..ila nakkumbusha tena utakuwa mpumbavu kama hujui gharama ya laana unayoweza kuachia wanao kwa makosa unayofanya sasa kwa kurudia rudia licha ya kupewa tahadhari! usitaje jina la Mungu kimzaha mzaha..ACHA! amri ya tatu ya amri kumi za Mungu inakuonya wewe, soma Kut 20:1-17 kila siku kabla hujalala.
 
Pale Chadema mtu yoyote anafanya jambo lolote ndio sababu mzee Duni Haji wa ACT Wazalendo aliwaita ni Ukoo wa Kambale wote Wana ndevu.

CCM ni Chama kikubwa chenye Idara na Kurugenzi mbalimbali tofauti kabisa na vyama vingine.

Wengi wanaomkosoa Komredi Makonda hawajui maana ya Mkuu wa Itikadi na Uenezi.

Mezani kwa Makonda ndipo ilipo Ilani ya CCM hivyo Watendaji wote wa Serikali wanawafunika Kwake kisiasa.

Hawa Mawaziri wote Boss wao ni Komredi Makonda na Wakizingua anawaripoti kwenye Sekretarieti ya Chama ambayo inamshauri Mteuzi mkuu Rais wa JMT ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Mlezi wa vyama vya siasa.

Bavicha mmeelewa?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Idara ya Chawa!!
 
Umeshapanic 😂

Wapi nimelazimisha vyama Vyote viwe na Idara ya Itikadi?

Kama huna Itikadi utakuwaje na Idara ya Itikadi?!!
 
Makonda amegeuza upepo , chadema wajipange nafikiri kama ni Uenezi wampe John Heche huyu kidogo atawezana na Kasi ya Makonda
 
Pale Chadema mtu yoyote anafanya jambo lolote ndio sababu mzee Duni Haji wa ACT Wazalendo aliwaita ni Ukoo wa Kambale wote Wana ndevu.

CCM ni Chama kikubwa chenye Idara na Kurugenzi mbalimbali tofauti kabisa na vyama vingine.

Wengi wanaomkosoa Komredi Makonda hawajui maana ya Mkuu wa Itikadi na Uenezi.

Mezani kwa Makonda ndipo ilipo Ilani ya CCM hivyo Watendaji wote wa Serikali wanawafunika Kwake kisiasa.

Hawa Mawaziri wote Boss wao ni Komredi Makonda na Wakizingua anawaripoti kwenye Sekretarieti ya Chama ambayo inamshauri Mteuzi mkuu Rais wa JMT ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Mlezi wa vyama vya siasa.

Bavicha mmeelewa?

Mungu wa Mbinguni awabariki
Kumkosoa mtu hakuhitaji idara ya uenezi kwani wote wanaoikosoa serikali wana hizo idara?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Pale Chadema mtu yoyote anafanya jambo lolote ndio sababu mzee Duni Haji wa ACT Wazalendo aliwaita ni Ukoo wa Kambale wote Wana ndevu.

CCM ni Chama kikubwa chenye Idara na Kurugenzi mbalimbali tofauti kabisa na vyama vingine.

Wengi wanaomkosoa Komredi Makonda hawajui maana ya Mkuu wa Itikadi na Uenezi.

Mezani kwa Makonda ndipo ilipo Ilani ya CCM hivyo Watendaji wote wa Serikali wanawafunika Kwake kisiasa.

Hawa Mawaziri wote Boss wao ni Komredi Makonda na Wakizingua anawaripoti kwenye Sekretarieti ya Chama ambayo inamshauri Mteuzi mkuu Rais wa JMT ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Mlezi wa vyama vya siasa.

Bavicha mmeelewa?

Mungu wa Mbinguni awabariki
Chadema haina muda mchafu na huyo nyamitako wenu,mnapambana wenyewe huko CCM.
 
Back
Top Bottom