Madeveloper na madesigner, kazi ni kwenu

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Wanajamii, ni mategemeo yangu munaendelea vyema, tupo kwenye mchakato wa kukamilisha ufunguzi wa ofisi zetu za branch ya dar, hivyo tunahitaji vijana wenye nguvu, ari, moyo na uwezo wa kazi, na siyo longolongo.

Ingawa nimeshatuma tangazo kwenye jukwaa la la kazi, ila nimeona umuhimu wa kutuma hapa kwani hii siyo tu kazi, bali ni sehemu ya kujifunza pia.

Tunahitaji Developers , Web Designers na Graphics designers ambao wenye ujuzi kwenye;

-Ujuzi wa Object-Oriented programming, patterns and frameworks-Ujuzi wa kati na juu wa PHP and na lugha nyingine.
-Ujuzi wa JavaScript and jQuery
-Kwa Web designers, uzoefu na Joomla na Wordpress vinahitajika
-Kwa graphics designers wawe na uzoefu wa Photoshop, Indesign na Illustrator, pia CorelDRAW ni muhimu.

Ingawa tunatafuta watu wenye experience, ila pia kwa wale walio machuoni na wanahitaji kujifunza zaidi, pia tunawakaribisha, watajifunza na kufanya kazi kwani huo ndio mtindo bora wa kusoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom