Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.
mambo mengine wa kulaumiwa ni nyinyi wenyewe. siku hizi watu wanaona ngono ni kama maji ya kunywa. ndio maana mnadiriki hata kununua, tofauti na wazee wetu. ambao walikuwa wakisubiri hadi wakati muafaka, lakini leo hii hajulikani aliyeoa wala siyeoa. so mwanawake wamekuwa ombaomba na wanaume wamekuwa omba omba. tofauti ni huyu anaomba ngono huyu anaomba pesa. jamii nzima inapaswa kubadilika.
DEMBA baby ujue hata tungetaka kutunia approach ya zamani si lazima kianza kwa kuongea? Sasa zamani wabibi walikuwa ivyo kwamba leo mmekutana au hata bado kuonaa..kama.anavosema TIMING mmechat for one hour hivi then invoice hiyo apo.......sasa wanatukimbiza namna hiyo kama alivosema Kiranga.
 
Last edited by a moderator:
heee....basi hutaenda popote baby maana Malafyale ataishia chalinze...ata vigwaza hafiki. Yaani niibiwe nikiwa naona?:frusty::A S-confused1::shocked::cell::A S angry::A S-coffee:

Ahahahaha Kaizer tutaonana kwenye madai ya "conjugal visit" kaka ambapo DEMBA atakuwa anakuja Ukonga kunitembelea gerezani maana nikimkosa nina uhakika nitafungwa tu jela ahahaha!
 
Last edited by a moderator:
Au hata hujamwona uso wake, hujui alivyoipata namba yako, anakupigia ati kapatwa na msiba, anakuomba laki na nusu nauli ya kwenda kwao.. Jamani, inauma eeh. Najiuliza, hivi nikimwomba yeye elfu hamsini nimefiwa na mjomba atanitumia? Bongo ni bongo kweli kweli. Tena sauti yake ya uhakika kabisa kuwa hicho ni kiasi kidogo saana. Najiuliza, kama ningetokeza naye, tungespend ngapi aniamini?? Atakuwa anaufundi gani hiyo night ya gharama hivyo?
huwaga najiuliza kwanza amenionaje huyu? au kaniona kuwa cna xperience na viumbe wa aina yake?
na wengine hawana hata thamani hiyo sijui nani anawadanganya kua anathamani ya hela hizo!
mi nahisi huwa wanasikia kwa wengine halafu nae anapayuka tuu! sometimes jiangalie kwenye kioo jiulize unathamani ya kupewa elfu hamsini kwa nywele tu nawe unampa nn ambacho ni quality hivo? au mnafikiri kua c wajinga kiasi kwamba hata tukiingia hatujui hii mashine ni grade gani? ukiona unajijua machine mbovu halafu jamaa kanyamaza ujue anakusanifu tu au kuna pengine ur better of.
 
Mangatara it's true!!!... Mi kuna demu ni jirani tu hatuajazoeana kiivo.. Kuna siku akanipigia simu eti ana msiba rafiki yake kafiwa na bibi yake arusha nimpe elfu 70000 za naulia na mambo mengine!!! Na siku hiyo aliniita "mpenzi wangu!" ilibidi nimpigie kumuuliza kulikoni... Nikakutana na sauti ya mahaba sio mchezo... Asa nikajiuliza huu wizi mpaka lini jamani!!!???

mi nahisi sijui huwa naogopwa ama ni vipi?

nshakuwa kwenye uhusiano na mabinti wanne tofauti, lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa akiniomba pesa!
sasa sijui kuna kidume kingine kilikuwa kinahudumia ama vipi?

cha ajabu hakuna hata mmoja aliyekuwa akinizingua, basi tu ikatokea tunaachana sababu ya mazingira ya kuhamahama!
 
siku izi kila demu unayemtongoza lazima adai ana simu mbovu!!!
 
Kina dada mwaka huu mtakoma na JF. Naona nyuzi za mademu bado zinashushwa tu. Watu hawana tena kitu cha kuandika ni mademu mademu mademu! I'm out of here!
 
Madem wa kibongo ni majangaaaaaaa!

Msiwaseme mademu wa kibongo kama hii ni tabia maalum kwa wabongo.

Tushaona watu wa mataifa mbalimbali wenye tabia hii kuliko wabongo.

Na wabongo waliotulia.

Hii ni tabia ya mtu. Si monopoly ya taifa fulani.
 
Hahaaaa sofi huyu wa catalunya bar..yaani saa nne asubui anaomba namba ya simu saa saba mamake mgonjwa anaomba laki 7 ..khaaaa
 
y
Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu
sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa
Zamani,Mkono mtupu Haulambwi..
We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii
mwenzio walaaa hazimshtui..
Wiki ya 1: Baby Goodmorning..Anajibu
MRNG.TC...Hataki longolongo...
Babe umekula..anajibu Yah,why not...
Baby Goodnite anajibu Nyts...au K
Wiki ya 2 we mtumie MPESA Laki 2 ya ghafla tu
kumsapraiz..
Halafu Mtext...Baby umekula..Utasikia,yes
Hubby wangu,nimekula nimeshiba,nakuwaza tu
hapa cant wait to see you baadae,kisses hubby
akee
Ukimtumia Goodnite...Baby why unalala
mapema hivi,subiri tulale wote jamaniii,au
hunimiss
Ukimchunia bila kumtext lazima aanze...Hunnie
Boo,mbona kimya jamani,I miss you,ukiwa
kimya sana unanipa mawazo..I love you,ur the
best thing ever to happen in my life...Hiyo
inaitwa Miujiza ya Laki 2
Mademu wa Mjini Mshenga wao Hela...Laki 2
ina uwezo wa kubadili Nyts kuwa Goodnite my
Hubby,Kisses xoxoxoxoxo hata sijuagi manake
nini.
Sasa wewe endelea na I love you zako kama
unaekti muvi ya Marichui HUTAPENDWA
NG'OO!
Kwa Hisani ya Wanaume wote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom