Mademu kumi wakali Bongo Movies

wajojo

Senior Member
Apr 29, 2013
155
83
1.riyama ally(fungu la kukosa)
2.wastara juma(kijacho)
3.monalisa(my sister)
4.aunty ezekiel(mrembo kikojoz)
5.irene uwoya(baamedi)
6.mainda(hekima)
7.davina(ukurasa mpya)
8.cathy rupia(money and power)
9.thea (bed resr)
10.irene paul(money and power).hawa wadada wapo vizur sana mbele ya camera..hawa ni baadhi tu ya wasanii makini wa filamu apa bongo na wanaojua nini wanatakiwa kukifanya wawapo mbele ya camera big up sana..keep it up...
 
Hapana ninapozungumzia waigizaji wakali simaanish kwa sura.namaanisha wanaofanya vizuri mbele ya camera,wapo kikazi zaidi na sio kuuza sura
 
Mimi ni mdau wa movie za hapa om kaka..uwa nacheki movie nyingi sana na hawa wadada uwa nafuatilia sana movie zao...wako vizur nilipenda sana movie ya money and power kuna sehemu cathy alikuw anampigia simu patcho mwamba..jamaa akamdangany kuwa yupo mjin kumbe alikuw kwake..nilipenda reaction ya cathy alipomuona patcho yupo kwake na sio mjin kama alvyosema..aliitendea haki sana hiko kipande..dah cathy mkali.
 
Weka na picha basi maana sie wengine huwa hatuangaliagi hizo Bongo Movies
 
1.riyama ally(fungu la kukosa)
2.wastara juma(kijacho)
3.monalisa(my sister)
4.aunty ezekiel(mrembo kikojoz)
5.irene uwoya(baamedi)
6.mainda(hekima)
7.davina(ukurasa mpya)
8.cathy rupia(money and power)
9.thea (bed resr)
10.irene paul(money and power).hawa wadada wapo vizur sana mbele ya camera..hawa ni baadhi tu ya wasanii makini wa filamu apa bongo na wanaojua nini wanatakiwa kukifanya wawapo mbele ya camera big up sana..keep it up...

Mkuu mimi pia nawakubali hawa, pamoja na wema na bidada mmoja anaibukia kwa kasi, anaitwa irene paul. Pia kuna somebody Kyaka naye anajitahidi sana- nilimuona kwenye muvi ya Loreen
 
Hapo kuna msanii wote malaya tu wamekuja kuuza sura tu wapate mabwana wasanii waukweli ni mainda,johari,kemmy,thea basi
 
Mkuu mimi pia nawakubali hawa, pamoja na wema na bidada mmoja anaibukia kwa kasi, anaitwa irene paul. Pia kuna somebody Kyaka naye anajitahidi sana- nilimuona kwenye muvi ya Loreen

Wema kwa uigizaji upi?Yani katika watu ambao naona wanalazimisha fani ya uigizaji mmoja wapo ni wema
 
1.riyama ally(fungu la kukosa)
2.wastara juma(kijacho)
3.monalisa(my sister)
4.aunty ezekiel(mrembo kikojoz)
5.irene uwoya(baamedi)
6.mainda(hekima)
7.davina(ukurasa mpya)
8.cathy rupia(money and power)
9.thea (bed resr)
10.irene paul(money and power).hawa wadada wapo vizur sana mbele ya camera..hawa ni baadhi tu ya wasanii makini wa filamu apa bongo na wanaojua nini wanatakiwa kukifanya wawapo mbele ya camera big up sana..keep it up...

monalisa na johary are the undisputed actress's in Tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom