Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Wasichana
Hii tabia yenu ya kwenda kwa boyfriend wako huku umevaa pedi za Angels normal na kuzipaka tomato za RED GOLD si nzuri
Eti unasingizia upo kwenye siku zako muache hii tabia
KUNA mwenzenu huku kakosea kupaka badala ya kupaka tomato kapaka chill
Hapa Alipo anapiga kelele maana kikopo chake cha blue band kinamuasha
uchoyo bhna