Wanawake acha uchoyo wa nanii, asema Mpoki

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,592
Wasichana hii tabia yenu ya kwenda kwa boyfriend wako huku umevaa pedi za Angels normal na kuzipaka tomato si nzuri.
Eti unasingizia upo kwenye siku zako muache hii tabia
KUNA mwenzenu huku kakosea kupaka badala ya kupaka tomato kapaka chill
Hapa Alipo anapiga kelele hajitambui.


uchoyo bhna
 
Hehehehe!! Duh maskini...

Lakini ni kweli kuna mademu wa hivyo? Eti anavaa pad na kuweka tomato, jamani mjini hakufai siku hizi dunia imeisha...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom